Strike by Tanzania Doctors, what should be done

Sun Tzu

Member
Mar 2, 2010
78
23
Mwalimu used to say

" Some of our citizens still have a large amounts of money spent on their education, while others have none"

Today, the medical doctors who are striking and exercise a "go slow action" are not doing us (Citizens) justice.

It is us we gave them the privelege of the University education.
It is us we pay them salaries
It is us we are dying in hospital for their action
It is our brothers, sisters, sons daughters, mothers, fathers, uncles and aunties who suffers from their action and son on
It is our money which educated them and they haven't finish paying us back
It is our money and our life they are playing with
It is their oaths, morals and integrity which is under serious scrutny before the eyes of ordinary people.
It is the medical profession especially doctors from Tanzania who will loose respect of medical profession.

Kama ningelikuwa serikali ningefanya yafuatayo:
  • Kuwasikiliza madai yao kama yanamsingi
  • Kama hayana msingi kuwalazimisha kurudi kazini
Anayepinga kutimiza masharti hayo ningemwadhibu kama ifuatavyo:
  • Kumnyang'anya leseni ya Udaktari
  • Kumnyang'anya hati ya kusafiria
  • Kuwasiliana na nchi zote za SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki Mawaziri wa Afya na kuwapatia black list ya madaktari ambao wameshitakiwa kwa Manslaughter na kukiuka viapo vya udaktari pamoja na kuwafungulia mashtaka ya ya mauaji kwa kukusudia kwa viongozi wa Madaktari na manslaughter kwa wale walioendelea na mgomo baada ya tamko la serikali
  • kuwalazimisha wale wote ambao walisoma kwa fedha za wananchi aidha kwa mkopo au kwa scholarship za serikali, kuilipa serkali kabla ya kuruhusiwa kutoka nje ya nchi kwenda kutafuta kazi huko kama wameshindwa kufanya kazi hapa nchini.
Mwisho kabisa kama serkali ingebidi kukaa chini na kutafakari nini cha kufanya ili kuepusha migogoro kama hii kwa siku za baadaye siyo kwa madaktari pekee bali kwa kada zote zilizopo kwenye Utumishi wa Umma.
 
Just keep a low profile mate and thank god instead of being sacarstic on this forum. Go back and do your research!
 
madaktari ni wananchi wanaolipa kodi,baba zao,mama zao,kaka zao,dada zao,ndugu zao na rafiki zao ni walipa kodi.madaktari hawa hawajatoka india bali ni wazalendo waliozalia na kukulia tanzania,pia wameonyesha uzalendo wao kwa kubaki na kufanya kazi tanzania kwa maslahi ya watanzania.kama wewe ni serikali basi wao ni wananchi walioridhia uwaongoze,huwaambii ni kipi sahihi kwa maisha yao bali wao wanajua ni kipi kinafaa kwa uhai wa taifa hili.kama hutaki kuwasikia kilio chao basi wakusanye uwapige bunduki wafe.
 
Just keep a low profile mate and thank god instead of being sacarstic on this forum. Go back and do your research!

Mkasika,

You don't need research to know that Tanzanians are dying in hospitals because medical doctors are not willing to perform their professional duties. The reason is a raise on a pay check.

There is a civilized way to deal with such problems, we as citizens we don't expect less from educated cadres like medical doctors.
 
Nyambua pendekezo la kwanza, iwapo madai yao yapo sahihi utafanya nini?

Petu Hapa,

Kama madai yao yana msingi na uwezo wa kiuchum unaruhusu nitawatimizia mahitaji yao na siyo madaktari peke yao bali watumishi wote.
 
Atakula nini asipolipwa mwisho wa siku atakuandikia dawa sizo kwa ajili ya mawazo na njaa
 
madaktari ni wananchi wanaolipa kodi,baba zao,mama zao,kaka zao,dada zao,ndugu zao na rafiki zao ni walipa kodi.madaktari hawa hawajatoka india bali ni wazalendo waliozalia na kukulia tanzania,pia wameonyesha uzalendo wao kwa kubaki na kufanya kazi tanzania kwa maslahi ya watanzania.kama wewe ni serikali basi wao ni wananchi walioridhia uwaongoze,huwaambii ni kipi sahihi kwa maisha yao bali wao wanajua ni kipi kinafaa kwa uhai wa taifa hili.kama hutaki kuwasikia kilio chao basi wakusanye uwapige bunduki wafe.

Jackbauer

kumbuka kwamba watanzania wanakufa kwasababu Wale waliopewa dhamani ya kuponya maisha yao hawataki kutoa huduma hiyo kwasababu wanadai pesa zaidi! Where are moral values? Huu ni ufisadi wa nafsi.
 
Atakula nini asipolipwa mwisho wa siku atakuandikia dawa sizo kwa ajili ya mawazo na njaa

Claxane

Marekani katika kada zinazolipwa vizuri nitawatimizia madaktari na wanasheria, lakini sehemu kubwa wanafanya "Moonlight" kuongeza kipato, na daktari anapoona mgonjwa anataka kufa anaokoa maisha ya mgonjwa kwanza hata katika huduma binafsi malipo baade, Je inakuwaje madaktari wetu waswe na maadili na kuacha ndugu zetu wanakufa bure, kisa kuongeza ya mshahara. Where is professional ethics?
 
Back
Top Bottom