strictly for guys: Can one night stand be considered as a mere cheating??

How cheating is cheating??..can we draw a clear boundary between one night stand and absolute cheating or rather any act of dating in absence of your partner is just cheating???..hivi hakunaga kucheat kudogo na kukubwa???

A cheating is cheating, black and white, there is nothing to add nothing to reduce. Once u step out of ur partner and open ur zip or lower ur pant ur CHEATING!! whether it is one night or 30 minutes or 3 hours, id does not matter,cheating remains to be cheating once a cheat is cheating lol!
 
A cheating is cheating, black and white, there is nothing to add nothing to reduce. Once u step out of ur partner and open ur zip or lower ur pant ur CHEATING!! whether it is one night or 30 minutes or 3 hours, id does not matter,cheating remains to be cheating once a cheat is cheating lol!

thats my weeeeee!weka msimamo mapemaaaaaaaa!
 
Mkuu, Cheating ya one night haina madhara kabisa mdau.
Kwanza maranyingi huwa haina ushahidi (na ndio sababu wengi wanaiita ''cha kisela'')
kumpangishia manzi nyumba kabisa?? Dah ....

pole kwa kujidanganya loooh, nani kakwambia haina ushahidi just because ni 1 night stand, emagineile unatoka from one night stand hwrever mlipokuwa unakutana na mtu unayemheshimu vibaya na mnaonana uso kwa uso, sasa hapo utasema haina ushahidi? na je from there the lady anakutafuta two months later kuwa that day ilishika na kumbe dume zilipasuka sijui utasemaje? au uliposema haina ushaidi ulikuwa unamaanisha nini?
 
Kwa hiyo hata kutamani moyoni is a mere cheating?
Je does every cheating torture with the same level?

ndo mana wengine wasema dhambi zote ni sawa kutokana na imani, na dhambi huanzia moyoni au mawazoni kisha huenda kwenye matendo na mwhisho hutoa matunda ya dhambi ambayo ni maradhi, mimba zisizotarajiwa, watoto wanaotupwa jalalani, abortion, watoto wa mitaani and the like................. mwanzo wa haya mambo ni one night standing au ile ya chapchap au mwengione anasema leo tu tyupashe halafu basi tusijuane kila mtu na lwake..............................., mtu akifanya hili la one night standing au lolote linaloendena na hilo akumbuke kuja kuvuna siku ya siku alichokipanda kwenye hii one night standing.
 
Wadau naona mnachanganya meaning of one night stand ( mnaweza mkanielesha kama nimekosea) navyojua mimi ni sex bila kukusudiwa,, mfano mmeenda club tunakutana na lala 1 labda tunajuana kisela as school mates etc sasa ile kucheza cheza na vinywaji mwisho wa siku tunaondoka wote na kumegana mpaka asubuh then kesho kila mtu ajielewi anaona noma hiyo ndo one night stand lakini ya kutongozana miezi kufukuziana hiyo sio one night stand..

But zingine ni nzuri nina ushahid wa a friend,, wakati tunareport chuoni alikutana na mdada katika line ya registration na hakuelewa kilichotokea mpaka leo but bila kutongozana usiku ule wa kwanza chuon walimegana mpaka asubuh na yule dada.. Na baada ya hapo ndo relation na commitment ndo zikafata na mwaka huu march wamefunga ndoa... Najua mtu anayefanya kazi KPMG ameshanielewa.. Na mpaka leo wakikumbuka hawaelewi ilikuaje..

One night stand zingine ni ile mchumba kaja geto may be for discusion and mnaishia ku make love bila kutongozana na kesho kila mtu kivyake

Hii siwez kuita cheating kubwa as mazingira yanaplay part kubwa kwenye one night stand kutokea.. Na zipo sana vyuoni especially mzumbe

hehehee mie nimekupata sana, hii 1 night stand huwakuta sana housegirls hasa wanapowafungulia milango wababa usiku wanaporudi wakiwa tungi, wengine hubakwa na kuambiwa wasiseme na wengine hufurahia. Angalizo wamama bora kuacha kijana alale sebuleni awe anamfungulia baba kama anatabia ya kuchelewa kurudi kuliko kumuachia sanyato ndo awe anamfungulia baba, mara unaona hg wako analalalala ovyo mara anatapika tapika mara anachagua vyakula mara ananenepa gafla weeeeeeeh bipu one night stand uone matokeo yake.....???
 
Hivi embe bichi ni tamu eeeh? Sakapal hebu jibu swali hapo basii

sanaaa hasa ukiwa na pilipili na chimvi weeeh acha tuu, we pita uhindini utakuta yameshamenywa tayari juu imemwagwa pilipili nyekunduu.
 
SnowBall angalia unakoelekea naamini utakuja hapa kuconfess kuwa ulikuwa na one night stand na tusikuhukumu kuwa ni cheating
Ukirudi kwenye uhalisia as a man nakubaliana kuwa whether ni one night stand or kuna kasmall house yote ni cheating maana umemuacha yule wako uliyekabidhiwa na kutamani mwingine na kumuimbisha mpaka akaelewa sera zako na ukalala nae
Na siamini hizi mambo za one night stand maana nenda uendako kuna siku utagongana na huyo wa one night stand na guess what will happen unakijua mwenyewe SnowBall
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Snoball kuna SEHEMU UNAZENGEA 1 NIGHT STAND NINI! Sasa untaka tuku console kuwa its okay!!! LOL!!! Well its not okay bt its tolerable!!!! TATIZO LENU MKIONJESHWA MNANASA!!!! KILA AFFAIR ILIANZA NA ONE NIGHT STAND!!!! Upo hapo! Wote wenye nyumba ndogo walianza kwa kujiaminisha it will only be a 1 NIGHT STAND!!! Ndo wamechonga mizinga. The biggest problem ni kuwa YOU NEVER KNOW WHAT TO EXPECT!!! UNAWEZA PIGWA MAMBO XXXXXXXXL NEVER SEEN BEFORE!!! Hahahaaaaaa! Ndo hivo inakuwa YOU NEVER KNOW TILL YOU KNOW KAMA NI 1 NIGHT STAND AU NDO USHAJIPATIA SMALL HOUSE!!!! Hahahaaaaaaa! Hata wanawake atiiiiii! Mimi kumjaribu mtu sitakagu kabisaaaa! Unakuja kujua TOO LATE!!!!! Vishakunogea mpaka kwenye DAMU!!!!
me,
like your avatar
 
Bro Rocky ....no...i am not looking for sympathy....
I did talk from experiences...cuz whether we agree or not people are cheating..ryte?
My idea was to gauge the level of torturing...simply that.........
SnowBall angalia unakoelekea naamini utakuja hapa kuconfess kuwa ulikuwa na one night stand na tusikuhukumu kuwa ni cheating
Ukirudi kwenye uhalisia as a man nakubaliana kuwa whether ni one night stand or kuna kasmall house yote ni cheating maana umemuacha yule wako uliyekabidhiwa na kutamani mwingine na kumuimbisha mpaka akaelewa sera zako na ukalala nae
Na siamini hizi mambo za one night stand maana nenda uendako kuna siku utagongana na huyo wa one night stand na guess what will happen unakijua mwenyewe SnowBall
 
Bro Rocky ....no...i am not looking for sympathy....
I did talk from experiences...cuz whether we agree or not people are cheating..ryte?
My idea was to gauge the level of torturing...simply that.........

Mkuu SnowBall i know and to me the level of torturing is the same whether the act is one night stand or totally cheating.
 
Last edited by a moderator:
Cheating z cheating bhana, af upo gender sensitive mbaya, kwani a gal hawez saka 1 nyt ilyo cmama?! Am sure500% boi akijua dem kafanya hvyo ts over, n we'll ts the same dhambi coz hutojitetea "u knw t was jus 1 nyt stand wasn't 1 lifetime stand" so ts CheaTinG!
 
Kwa mtazamo wangu mi naona cheating is cheating.
Mkuu sakapal ameeleza poa hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nifafanue tu kwamba ukaonja mara moja na ukanogewa na kurudi mara ya pili au zaidi basi thats no longer a one night stand na pili, cheating is cheating mkulu sema severity ya maumivu na damage unayomsababishia mwenzako itatofautiana kulingana na jambo ulilofanya. Lets say, ukifumwa na massage ya 'i love you' ukajitetea ni rahisi kusamehewa na kutomuumiza sana mwenzio kuliko kufumaniwa live ukila mzigo!

Nimekua najiuliza siku zote kwanini relationship nyingi zinavunjika eti kwa kuwa mwanaume kala mwanamke mwingine? Ndugu zetu wa kike wengi wanaamini kuwa ukitiana na demu mwingine ina maana huwapendi wao tena. Wanaume, tofauti na wanawake, tuna uwezo wa kutofautisha sex na love. I can just have SEX with a woman and treat it as a mechanical process- just bang, bang, bang and off I go- without having to indulge my emotions at all, just for the sake of relieving myself. Yani hata nikikutana nae after few days naweza nisimkumbuke jina wala sura, its absolutely nothing! Nikirudi nyumbani kwa mke wangu- I make LOVE to her- I put my brain, heart and soul into it. Mwanaume anaweza kuwa kiwembe ile mbaya lakini at the end of the day anakuwa na mwanamke mmoja mbaye ndio roho yake.

Naamini wanaume wengi kama mimi, if given an option, tungependelea ku have sex with more than just one person wakati tukiwa kwenye ndoa zetu. Sijui ni tamaa au ni ulafi lakini kila ukitembea barabarani unakutana na majaribu and we are so weak. I think its biological!!! In contrast, wanawake wengi wanakasumba ya ku attach emotions zao kwenye tendo la sex, for majority hadi akupe mchezo ujue kuna viji feelings na emotions involved. (I understand ni tofauti kwa wazungu na machangu).

Kana-Ka-Nsungu
JF Senior Sexpert
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom