Stricktly don't open!

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
BABA:Mama yako yupo wapi?
MTOTO: Yupo chumbani kwenu amelala na houseboy.
BABA:Akitoka muambie nimelala na housegirl chumbani mwa houseboy.
MTOTO: Ina maana housegirl amenisaliti?
BABA:Kwa mtindo huu wote watano tuna UKIMWI.
(by G.mtokambali-praff)
 
Nani atamzika mwenzake hapo? It's just kind of joke ila kwenye baadhi ya jamii zetu wapo. Ni darasa kwa upande mwingine.
 
Back
Top Bottom