stress mangement!!!

whenever im stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from stressed situation.

drive smwhre,chilling with ma laptop, watching movies or jokes/comedy
 
Mi napenda nichat online or sms nikiwa stressed, kwenda Beach, kujinunulia vitu ninavyopenda kama Chocolate na kuangalia Movie za kuchekesha, usiangalie Movie za kukupa hasira au huzuni unapokuwa stressed, unajiumiza kichwa, but ukijisikia kulia, lia kwanza, kula ushibe, kunywa dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa kama umelia sana, then kama ni kwenda Beach, au kuangalia Movie za kuchekesha, kina Bean, Little Man etc ukiwa pembeni na juice nzuri, Chocolate etc do that uenjoy, Movie za kuchekesha zitakufariji sana kuliko pombe too much kama watu wengi wanavyofanya,ni poa pia hata ukiangalia na Company, sio ya waliokuudhi, ili akili yako itekwe na iwe na amani na furaha kupitia that Movie
 
Ukiwa stressed usipende kugombana na kujibizana na watu, kaa cool, usipende ugomvi, talk mambo ya kawaida in a cool way, ukijibizana au ukijiingiza kwenye ugomvi, utajiumiza zaidi na unaweza ukaongea vibaya au kudo kitu kitu kibaya kwa yourself or kwa mtu mwingine, kaa cool ili ujiweke strong, usijipagawishe utado bad things
 
Jamani mbona hamu suggest shughuli maalum ambayo ndo stress reliever numero uno?
Mnazunguka weeeeeeeee........utadhania hamuijui!
 
nafungulia mziki sauti ya juu,naenda kununua pombe then najifungia chumbani nakunywa,mara najikuta nimeshaanza kusinzia,usingizi unanichukua then nalala,asubuhi nikiamka yaani nitakuwa nimesahau kila kitu hata nikikumbuka siumii tena
 
Jamani mbona hamu suggest shughuli maalum ambayo ndo stress reliever numero uno?
Mnazunguka weeeeeeeee........utadhania hamuijui!
hiyo sio nzuri na inaweza leta madhara kwa mda huo mana itatumika vibaya
 
Unaweza ukaenda hata kwenye mall au maeneo yenye maduka ya bidhaa unazozipenda kutembeatembea huku ukifanya window shopping au hata real shopping kama una hela na unakihitaji kweli, ukienda kwenye mall kama Quality Plazza unaweza kununua kasoda kako ukanywa, ukazururazurura kuangalia bidhaa mbalimbali, unaweza hata ukakutana na friends zako wanaokufurahisha maeneo yanayoenda watu wengi kama huko, ukarudi home utakuwa umeshayafurahisha macho yako na akili, kalale, ukiamka safi kabisa, angalia Movie ya kuchekesha, raha jipe mwenyewe bhana, za kupewa nyingine zina masimango!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom