Stress huja.......

Dr.kapama

Senior Member
Nov 12, 2011
180
34
Stress huja unapotaka kila mtu aishei vile utakavyo
stress huja unapotaka kumplease kila mtu
stress huja unapotamani vitu unavyojua huwezi kupata
stress huja unapokuwa na wivu usio faida na maendeleo
nasema stress huja,unapomtaka manzi,unashindwa kumwambia,halafu rafikiyo anamchukua...
 
INAONEKANA HUKUPEWA CHAI ASUBUHI, UKAKOROGEWA JICE YA OMO, maana mapovu yakutoka kwa hasira mdomoni kha! punguza hasira kaka, hii ni chit chat!

Ana stress huyo baada ya b.sha wake kumuacha na kumchukua kichaa mtaani kwao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom