Stress free zone

Halaf karibuni nitaanza kujipakazia mimi ndio Asprin nipate kuwapreeze kiulaini hawa vijukuu vyako. GGia ya uzee inalipa fellow tablet,lawyer nimestukia
Nakushauri ujiite anko klorokwini. Hii profeshen ya ubabu wameshaivamia mafisadi wengi haina mashiko tena. Hapa natumia uzoefu tu..... Hahaha angalia usije ukadanganywa na avatar ukajikuta unataka kupreeze na Kipipi au Erotica. FYI Kipipi ndo Kingunge Ngombale Mwiru na Erotica ndiyo Paw.
 
Last edited by a moderator:
Ile picha aloweka Rejao fesbuku sio ya kwake ujue. hehehe heri mie sijasema
Hahaha hahha haah! klorokwini hilo nalijua sana,
Nashukuru kwa kunifikishia ujumbe kwa wananchi maana wanachanganyikiwa mpaka basi wanailike kwa fujo kumbe wala hata siye lol!
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri ujiite anko klorokwini. Hii profeshen ya ubabu wameshaivamia mafisadi wengi haina mashiko tena. Hapa natumia uzoefu tu..... Hahaha angalia usije ukadanganywa na avatar ukajikuta unataka kupreeze na Kipipi au Erotica. FYI Kipipi ndo Kingunge Ngombale Mwiru na Erotica ndiyo Paw.

heheeh gia ya anko haina mpango wowote , wewe huoni anko Kaizer mpaka leo anahesabu shkamoo tu, akiongeza neno zaidi ya marahaba, jamaa wanamwambia watamsemea kwa shangazi . Imekula kwake.

halaf fellow tablet apo kipipi na erotica mbona tunakatana stimu bana, ujue kuna mmoja tayari nimeanza kuwekeza apo
 
Hahahaha......... basi naona ujiite padre klorokwini. Nakumbuka Masanilo alijiita mchungaji foleni za mashore zikawa kubwa mpaka akainguia mitini. Ukiona upadre haulipi jiite Askofu au Shehe. Kazi yako ni kusuluhisha matatizo ya mahusiano.
 
Kuna siku nilitania tu mimi ni mganga wa kienyeji, kama umeibiwa mumeo basi nakupigia ndumba mwizi wako anafanya matege ya meno na sehem za siri hehehe hauwez kuamini bana, nilipata pm kama nane ndani ya dakika 5 ikiwemo ya Cantalisia . sasa natathmini apa niludi kiganga ganga sjui. Huwez jua fellow tablet, hapo unaweza kuta hata rashian rulette akanasa, si ana mume yule?
 
ha ha ha ha, klorokwini, tangu ujue kupreez imekuwa nongwa. Afu nataka kumpreez Asprin ila ananichenga wiki ya tatu sasa.

Unataka nini ODM?

Nilikuwa natania tu, nina mpango wa kuanzisha kiwanda cha ice cream ya korosho huko kiborloni. Tuma CV yako kama bado hauna kibarua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom