The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 453
Huyo ndio Benard Kamilius Membe...a pure diplomat...
Kimsingi mi naona hajajibu swali lile la kuzama kwa meli...kakwepa kwepa tu kidizaini
Huyo ndio Benard Kamilius Membe...a pure diplomat...
So, kumbe hapo penye RED hata angesema nini ni kwamba unawachukia tu,, Wacha kuji contradict wee kampichi mbeleweleMembe is another crap who doesnt know what he is saying, especially how he has reponded to the last question about MV Bukoba and MV Spice Islanders. He did not say why are these events are keeping on recurring. These guys are actually JANGA LA KITAIFA. I hate CCM and their allies
kama kuna kitu kinakera ni kauli kama fulani anaungurma, anamwaga cheche, awasha moto, afunika etc. pure crap.... Membe will never roar, he is not a lion
afterall he just another crappy politician who would do better kwenye utumishi wa umma kwani hajui kuongea... he pretends to be very serious vocally but nothing more than that
yupi sasa mleta mada au Membe??Mkuu...Ulitaka aongeaje kwa vigezo vyako?
Membe is brainiac...sikiliza hoja zake...
Afadhali hata wewe ambaye hujaangalia kwa sababu hata mimi niliyeangali nimeshindwa kupata summary ya nini haswa ameongea Mh. Membe.Ni kama hakukua na jipya zaidi ya kuelezea amani tulionayo na mafanikio ya kitendo cha kuungana na Zanziba(kwa maana ya muungano kudumu muda mrefu kwa kutatua kero).
Asante kwa taarifa, kumbe ni Membe. Nina sababu ya kuangalia. Kuna tofauti kubwa kati ya bwana huyu na mawaziri wenzake pamoja na controversies zake. He is bold enough, he confronts, this is a rear specie katika uongozi wa tanzania wa leo.
Lakini baadhi ya 'Great Thinkers' wetu hapa JF wakati mwingine mpaka kero.
Hiki kitendo cha kuamua kuunga mkono hoja au kuupinga LAKINI bila kutandarua sababu za msingi na zisizoacha maswali akilini mwke msomaji wako sana sana inasaidia tu kukusaliti na kudhihirisha jinsi gani ulivyo mweupe kama si 'Great Stinker' of the first order.
Kilichomfanya Membe aonekane Brainy akizungumzia miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu ni kipi hasa kama ukweli ni kwamba hakugusia kwa kina hata hoja mojawapo hpo juu????????? Ulimpima vipi hasa wewe mwenzetu hapo????
Substance iko wapi katika mazungumzo ya Membe;
1. je kazungumzia kitu gani kuhusu ugumu wa maisha tangu tupate uhuru miaka 50 iliopita???????????
2. akina mama wanapata maji umbali gani toka majumbani ukilinganisha na kipindi kilichopita???????
3. Demokrasia na utawala bora imeimarika kiasi gani ukilinganisha na awamu ya Mwalimu Nyerere (DC Igunga na Kahama)??????
4. Vifo vya watoto wachanga na akina mama wajawazito ikoje????????
5. Uwiano kati ya mwalimu mmoja na wanafunzi nchini ikoje?????
6. Uwiano kati ya dktari mmoja na wagonjwa Tanzania ikoje???
7. Bunge la sasa hivi linalo kasi na ubora kiasi gani kutunga sheria za nchi ukilinganisha na huko nyuma??????
8. Gharama ya kufanya biashara nchini mwetu ikoje, Ufisadi kwa sana au???????
9. Haki mahakamani kwa watuhumiwa ikoje???????
10. Ukaribu wa chama 'tawala' na vyama vya ushindani ukoje???????
11. Gawio la pato la taifa kwa kila kichwa kinaonyesha nini???????
101. ........... nk; jaamae naomba msinipigie kelele hapa hata kidogo kwa WACHUUZA MANENO wanapopata nafasi kwenye kioo!!!!!!
Mzee Mwanakijiji, ni nani amewaleta hawa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje hapa jukwaani kuja kumpamba bosi wao kama ng'ombe wa kukokota jembe vijijini wakati mazungumzo yake yote yalikua ni porojo tupu na kuendelea tu kuuza sura kwenye kioo????????
Great Thinker nawashilisha hoja kuhoji kelele za Great Stinkers hapo juu.
Kumbe kwa nini wewe unapinga wakati hata hujasikiliza. Mijitu mingine bwana, chuki tuuu! Panda juu ukazibe!
Membe is another crap who doesnt know what he is saying, especially how he has reponded to the last question about MV Bukoba and MV Spice Islanders. He did not say why are these events are keeping on recurring. These guys are actually JANGA LA KITAIFA. I hate CCM and their allies
Huyu ni waziri tofauti kabisa na wengine,, the fellow is sober and well informed
Jazba za nini? Jiue basi. Hayo unayozungumzia yangekuwa maswali mazuri sana ya kumuuliza kama ungsikiliza kipindi. Ya kuzungumza yalikuwa mengi na ameyazungumza. Wewe jadili alichoongea kwanza.
Jazba za nini? Jiue basi. Hayo unayozungumzia yangekuwa maswali mazuri sana ya kumuuliza kama ungsikiliza kipindi. Ya kuzungumza yalikuwa mengi na ameyazungumza. Wewe jadili alichoongea kwanza.
Straight Talk Africa
Mhe. Dr. Membe Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa hewani akijaribu kufafanua masuala ya Tanzania ikiwemo uraia wa nchio mbili (Dual Citizenship)
Dr. Lyungai Mbilinyi, Secretary of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) joins host Shaka Ssali to discuss the upcoming conference marking 50 years of independence for the east African nation as the organizations looks closely at the impact of the diaspora on the countries political and economic success. http://www.dicotaus.org/
Watch Star TV: Voice of America - Info | Facebook
Straight Talk Africa
Here's our Question of the Week: "What is single most important accomplishment that Tanzania has achieved during the last 50 years of independence? Send an email to africatv@voanews.com or post a comment right here on our Facebook page ...and let us know"