AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 17
Dear Members!!!
Mwanachama mwenzetu wa JF, anaefahamika kwa jina la Stone Town amefanyiwa upasuaji mdogo ktk paja ili kuondoa uvimbe uliokuwa namsumbua.
Mwenyezimungu amuwezeshe apone kwa haraka ili aweze kurudi ktk shughuli zake za kila siku za kujitafutia rizki.
Ugua pole Mdau mwenzetu.