Sticker za fire

Ichobela

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
326
156
Wanasheria wa JF,nisaidieni msaada wa kisheria.Hivi kisheria ni kosa kuendesha gari yenye fire extinguisher ambayo haijakaguliwa na watu wa FIRE na kupewa sticker?
 
Siyo kosa ni viherehere tu cha msingi nunua zile za poda usinunue za maji
 
Siyo kosa ni kiherehere chAko tu cha msingi nunua zile za poda usinunue za maji na uende ofisini kwako wakupe stika ni mapato ya serikali
 
Siyo kosa ni kiherehere chAko tu cha msingi nunua zile za poda usinunue za maji na uende ofisini kwako wakupe stika ni mapato ya serikali

hata wewe una kiherehere unaweka comment mbli zisizo na jibu muafaka unakurupuka kama unatumia masabri kufkri.kama serikali ipo makini na ao fire extinguisher makao makuu wanajua wajibu wao wapite maduka yote especial lumumba street wawapokonye wanaouza zile za maji wasiendlee kuziuza.waache kuish kiujanja ujanja mi ninayo iyo ya powder inamiaka mitano so am nt sure kama bdo ni mzima ninachofanya uwa nanunua stker akuna ukaguz wala nini nch inaendshwa kiujanja ujanja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom