Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,452
Wababodi,

Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).

Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi Mketema akimzungunzia Bongo Movies No. 1 Top Celeb, Steven Kanumba.

Story yake ni very touching. Ni product ya broken family aliyekumbana na madhila ya wicked step mother!. Jamaa ameteswa sana utotoni na mateso yake yamenigusa sasa na mimi nampenda huyu jamaa.

Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.

Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).

Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.

Kwa mtakaotaka kuona angalieni marudio kesho saa 4.00 usiku Clouds. J4 ijayo part 2 ya Kanumba itaendelea!

Paskali

Update:
Jamani, baada ya kupokea taarifa za kifo cha Steven Kanumba, nimeikumbuka hii post nilibandika tarehe kama ya leo exactly miezi miwili iliyopita!.

Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.

Ama kweli nimeamini maneno ya walimwengu "Wanaopendwa na Wengi, Hufa Wangali Vijana"!.

Nimeguswa sana na msiba huu, chanzo ni pombe kaki ya Jack Daniel!

Rip Steven Kanumba!.

Paskali
 
Kanumba yuko vizuri,napenda sana anavyoigiza hasa filamu yake ya Moses ni nzuri na ina mafunzo sana
 
Pasco wewe kweli msukuma wa shoka: Watoto sita, safi sana.Una mpango wa kuongeza? Maana inaweza kuwa uko half time! am kidin'
 
Iende irudi Kanumba ni 5 star actor. Jamaa ni kichwa,anajua anachokifanya.
... Nampa pole for that sad story! Yote maisha.
 
Wababodi,

Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.

Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).

Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.

Kama watamatch hiyo ndoa italast ama kwa honeymoon tu au kwa brief period watakayokuwa wanamake headlines ktk magazeti ya udaku basi, baada ya hapo tu puuuuuuuuuuu hakuna ndoa tena.
 
wamesha mharibu mtoto wa watu...aiseee watu wabaya sana....

kila jambo na wkt
wake. Huu ni wkt
wa zama kuzaa
kaharibiwa kwani
alibakwa.yule
ni mtu mzima alipokuwa
ananeng'eneka na
huyo alombebesha mimba alijua anapata
nn
 
Wababodi,

Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).

Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi Mketema akimzungunzia Bongo Movies No. 1 Top Celeb, Steven Kanumba.

Story yake ni very touching. Ni product ya broken family aliyekumbana na madhila ya wicked step mother!. Jamaa ameteswa sana utotoni na mateso yake yamenigusa sasa na mimi nampenda huyu jamaa.

Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.

Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).

Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.

Kwa mtakaotaka kuona angalieni marudio kesho saa 4.00 usiku Clouds. J4 ijayo part 2 ya Kanumba itaendelea!

Pasco.

Pasco bana hiyo red nimekubali wewe msukuma chapa ya ng'ombe

Hiyo red umekuja kupigia debe kijanja nini kati ya hao kuna aliyekutuma??
 
Jamani, baada ya kupokea taarifa za kifo cha Steven Kanumba, nimeikumbuka hii post nilibandika tarehe kama ya leo exactlymiezi miwili iliyopita!.

Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.

Ama kweli nimeamini maneno ya walimwengu "Wanaopendwa na Wengi, Hufa Wangali Vijana"!.

Nimeguswa sana!.

Rip Steven Kanumba!.

Paskali
 
Kwa kweli huu ni ujumbe kwa watu wote walioko physical kwenye relationships! Nina rafiki wa kike, mumewe akichelewa kurudi anamuwasha kibao. Nimempigia na kumuonya tena. Wanaume na wanawake mlioko physical, it is not worth it kuvumilia relationship ya kupigana. Mtu anazima ndoto zako, umejuana nae 2 years ago! Damn!
 
Back
Top Bottom