Steven Galinoma (aliyewahi kuwa Mbunge) afariki dunia

alikuwa CCM na ninamfaham sana mzee huyu nlishafanya nae kazi ya ujenzi wa shule bega kwa bega pale lipuli sec. Dah polen wana kalenga na iringa. R.I.P
 
R.I.P Babu. Hivi alikuwa chama gani?

alikuwa CCM kumbe..........nimejijibu loh!!!!!!!

SalutationHonourableMember picture
1351.jpg
First Name: Stephen
Middle Name: Jones
Last Name:Galinoma
Member Type:Constituency Member
Constituent: Kalenga
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 516, Iringa
Office Phone: +255 754 446386
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jgalinoma@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 June 1933
 
poleni wafiwa, huyu pia si alikuwa mbunge 95-00? si ndio baba wa yule muimba regae? sikumbuki kama niliwahi kumuona but miaka hiyo nikiwa TOSAMAGANGA alikuwa mbunge... poleni wakazi wa kalenga
Yap ni Baba wa Innocent Galinoma muimba reggae, anaishi US.
 
Rest in peace Hon. Steven Galinoma. Utakumbukwa na wanakalenga kwa uamuzi wako wa kustaafu siasa mwaka 2010, tofauti na vinganganizi wengine.
 
alikuwa CCM na ninamfaham sana mzee huyu nlishafanya nae kazi ya ujenzi wa shule bega kwa bega pale lipuli sec. Dah polen wana kalenga na iringa. R.I.P
Na hapo Lipuli ndipo roho yake pia ilitoka. What a coincidence!!
 
Kwa maana pumzi tuliyonayo imetoka kwa mwenyezi Mungu na vivyo hivyo itarudi kwake baada ya kumaliza kazi alizotutuma kufanya duniani...Mungu amlaze pema marehemu na aipe faraja familia yake!
 
Aliekua mbunge wa kalenga mkoani iringa steven galinoma amefariki dunia leo saa tatu asubuhi kwa ugonjwa wa saratani. Source. Clouds radio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom