Steven Galinoma (aliyewahi kuwa Mbunge) afariki dunia

Mzee Steven Galinoma aliyekuwa mbunge wa Jimbo la kalenga Mkoani Iringa 1995 - 2010 Amefariki Dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Iringa kutoka kijijini kwake Kalenga baada ya kupata shambulio la moyo Mchana Huu!!
 
Mzee Steven Galinoma aliyekuwa mbunge wa Jimbo la kalenga Mkoani Iringa 1995 - 2010 Amefariki Dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Iringa kutoka kijijini kwake Kalenga baada ya kupata shabulio la moyo Mchana Huu!!

Pole kwa familia yake, wananchi wa Kalenga na waTanzania wote kwa ujumla.

Kwa kweli huu mwaka naona umeanza "vibaya" kwa wanasiasa wakubwa ktk nchi hii.

Tumuombe Mungu na kutengeneza mapito yetu tunapokuwa tukingali hai, ili tunapokamilisha safari yetu hapa duniani tuweze kupokea tuzo.
 
Ni wakat wa ku2bu na kurud nyuma kwa Mola wetu. Watz, hasa viongoz, hasa wabunge tubun! Vifo mfululizo ndan ya mwez mmoja s hal ya kawaida! Ee Mungu turehemu!
 
Mzee Steven Galinoma aliyekuwa mbunge wa Jimbo la kalenga Mkoani Iringa 1995 - 2010 Amefariki Dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Iringa kutoka kijijini kwake Kalenga baada ya kupata shambulio la moyo Mchana Huu!!

Nilikuwa namfahamu huyu mzee. Mola amlaze pahala panapostahikhi.

 
Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani Amina
 
Mzee Galinoma alikuwa mtu mnyenyekevu, mwenye busara, na mwenye uchungu na nchi yake. Alitumikia taifa kwa nia ya dhati kabisa. Mwenyezi Mungu aweke roho yake mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom