steve nyerere kwny hili umechemka

kubane

Member
Apr 1, 2012
17
2
wakati anajitahidi kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kifo cha the great K, akajikuta anasema... ''yani juzi tu tumekutana maisha club sisi tuko chini yy yuko juu anakunywa pombe na kucheza mziki wa twanga...'' mi nadhani angeweza kusema mengine ya maana ukizingatia alikuwa anasikika radion. wasanii wajifunze uchaguzi wa maneno hasahasa wanapotoa maoni yao ktk vyombo vya habari.
 
Hajakosea. Hisia zinapozidi unaongea chochote ulichounganishwa na umkumbukaye kwa mara ya mwisho, ziwe nzuri kwa masikio ya wengine au la, lakini ndio kupoa kwako.
 
Hajakosea mkuu,kunywa au kucheza kwa kanumba sio hajabu nyinyi ndio mtu akifa mnaanza kusema oh marehemu alikua mtu fresh sana wkt still una bifu nae la kufa mtu!
 
Hajakosea au angesema alikuwa anakunywa soda ndo ingekuwa bora zaidi?
 
kusema kwake ukweli ndo imekuwa kosa?ulitaka aseme walikutana church wakat sivyo?
 
ukisema ukweli umekosea khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ulitaka adanganye waliutana msikiti/kanisani?
 
kwa nini usingeweka comments zako kwenye thread ileile? sijaona sababu kabisa ya kufungua thread ya ujinga kama hii
 
Akidanganya hivyo ili iweje?

Hamna alilikosea coz yeye ameeleza what he saw, few dayz alipokutana naye..., sasa achague maneno ya kusema what does it mean kama siyo kumtaka Nyerere aseme uwongo? tubadilike na ifike mahali tuwae original kwenye midomo yetu.
 
tatizo watanzania wanapenda kudanganya, na kutokusema ukweli! Je unafikiri lulu akiulizwa unamkumbuka je marehemu mara ya mwisho atajibu je?
 
wakati anajitahidi kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kifo cha the great K, akajikuta anasema... ''yani juzi tu tumekutana maisha club sisi tuko chini yy yuko juu anakunywa pombe na kucheza mziki wa twanga...'' mi nadhani angeweza kusema mengine ya maana ukizingatia alikuwa anasikika radion. wasanii wajifunze uchaguzi wa maneno hasahasa wanapotoa maoni yao ktk vyombo vya habari.

Ulitaka kusikia nini toka kwa Steve Nyerere?
 
Back
Top Bottom