Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz

Hii nchi ina vivutio vingi sana......
Nyerere aliamua kuanza kuweka vivutio vya Utalii pale ikulu,
Aliweka Tausi, ndege wazuri sana wale, akaweka hata ndege Mbuni...

Naona marais waliomfuata wameiga nyayo zake!! Kudos!!!

2011_rise_of_the_planet_of_the_apes_001.jpg


Ndugu,

Kumbe leo hajalala au hayupo bungeni
 
avatar46847_1.gif.jpg
Jamani huyu cha kusinzia hizi habari aliota mumsamehe bure yeye anajali sana usingizi kuliko wananchi waliomchagua wamemtuma aende bungeni kutetea maendeleo ya jimbo lake yeye ndio wamempeleka kulala Bungeni ndio maana anaotaota sana.
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.

Vatcan lazima itakuwa na data zote za mgombea wake wa urais katika nchii iitwayo Tanzania
 
Back
Top Bottom