Nyaralego
JF-Expert Member
- Nov 13, 2007
- 732
- 28
Wewe usinitishe wala nini, nishampa mungu chance ya kuni strike down dead mara kibao hapa na kashindwa. Mie sikutishi mwanangu, nakuambia ukweli. Do not mock GOD.
Mungu ni fix tupu, hamna mungu."Mungu" katengenezwa na binadamu na anatumiwa na wajanja kuwa control wajinga.
Nani kasema I have the answers? Kati ya anayejifanya anamjua mungu, na anayekubali kwamba hawezi kusema anamjua mungu kwa sababu mungu hajajidhihirisha kwake, nani anajifanya anajua majibu?
As far as I know kifo ndiyo mwisho wa mchezo, hizo bs nyingine za mbingu ni watu wanataka kujifariji kwamba eti kutakuwa na kuonana tena na wapendwa wetu.Na wengine wanataka uwafanyie kazi hapa duniani na kukupa ahadi za "pie in the sky". Kifo ndiyo mwisho wa mchezo, na vitisho vyako vya soul yangu kwenda motoni havinibabaishi kwa sababu mimi kwanza najua kwamba sina hata hiyo soul.
BRAVO BRAVO!!! continue to convince yourself. You are indeed in Hell here on earth.