Stephen Hawking on Religion: Science will Win!!!

An even worse assertion is the one trying to brand another as a failed argument without explanation, it does not even try therefore it doesn't even have a chance of failing.

You are not even wrong, you are worse than wrong. At least with a wrong/ failed argument we can see where it went wrong/ failed.

You = nada !

Why should I waste my time and do the recap of SILLY ARGUMENT ambayo nimeshaonesha udhaifu wake? Ni sawa na mtu anayekuja na kusema 'mbwa ni bora kuliko mwanadamu kwa sababu anabweka'..this is so pathetic.

Repetetion of failed argument doesn't make it right.
 
What was the color of the hand of god? What approximate measurements was it? When did god create science? What nature of man did god know?

Opinions are like asses, everybody has one, facts on the other hand, are sacred.

And god is not a matter of fact, god is a matter of faith. Unprovable, unverifiable entity. Right up there with Father Christmas, Santa Claus, The Easter Bunny, Snow White and The Seven Dwarfs. Tinkerbell and all the fairies, The Loch Ness Monster, Popobawa, the genies, the angels, the devil and all the other fictional characters.

KIRANGA,
RHETORIC. You have picked your side and i have picked mine. GOD to me is matter of fact, faith. That you can lump HIM with fairy tale characters makes me fear for your soul, by and by you will see the hand of GOD in your life, the day HE will smack your unbelieving self.
 
NADHANI WANA SCIENCE WA HUMU JAMVINI wameshindwa kabisa kumwelewa ABDULHALIM, yeye sio anapinga hii hoja ya kuwa science iko juu ya dini, lakini swali lake ni kuwa HIYO SCIENCE HIKO JUU KWA KIGEZO KIPI?, KAMA KUNA MWANASAYANSI ANAYEWEZA KUMFAFANULIA HILO INGEKUWA NDIO MWANZO WA MJADALA

NADHANI HATA SAYANSI YENYEWE NDIPO INAPOBASE HAPO, KITU KIMOJA KINATOFAUTIANA NA KINGINE KWA SIFA MOJA NA WALA SIO KWA SIFA AMBAZO HAZIHUIANI, KWA BASIC SAYANSI KABISA, UNAPOTOFAUTISHA BASE NA ACID UNAFATA VIGEZO VINAVYOFAFA, MFANO

TASTE: BASE=BITTER, ACID=SOUR , HAPA TOFAUTI NA COMPARISON NI TASTE

UKIANGALIA DIAMOND NA GRAPHITE ALMOST ZIKO SAWA, ZOTE NI CARBON LAKINI UKIJA UKIZIKOMPARE ILI UTAFAUTISHE MOJA NA NYINGINE NI LAZIMA UTUMIE VIGEZO VINAVYOFANANA NA HAPO NDIPO UTAKAPOONA TOFAUTI YA DIAMOND NA GRAPHITE

POINT YA ABDULHALIM NI SAYANSI INAIZIDI DINI KATIKA LIPI? TOENI VIGEZO TUANZE KUJADILI
 
Fine, the argument may be silly to you, but you failed to show so to the forum.

The whole point of registering and writing here is to exchange views, sasa kama wewe unakuja na kusema "silly argument" bila kutuelewesha tunaona umeshindwa kuwasiliana.

Au simply huna point za ku counter ndiyo maana unaishia kusema "silly argument", especially kwa sababu hata baada ya kuwa challenged kuonyesha silliness iko wapi umeshindwa.

Umeback down from a challenge, ume lose face, ume chicken, umeonyesha unasema vitu ambavyo huwezi kuvi back up.
 
Science inaishinda religion katika kufanya uchunguzi, religion haina uchunguzi na in fact ukifanya uchunguzi katika conventional religion utaambiwa unafanya blasphemy. Religion, for the most part represent a closed conservative system with some fantastic and dogmatic ideas that are suppose to be taken by fiat.No proofs, no skepticism and no room for questioning authority.

Dini haitaki maswali, lakini inajidai kuwa na majibu karibu yote.

Science on the other hand, encourages the pursuit of knowledge, skepticim, questioning of authority.

Sayansi siyo tu inakubali maswali, inasisitiza uchunguzi na kuuliza maswali na ina maarifa ya kukubali kwamba haina majibu yote.

Kiranga,
Uko sawa kabisa, ndiyo maana sayansi ikawa siyo sawa na religion. Usichukue appraoach ya kwenye religion ukaipeleka kwenye sayansi and vice-versa. The most you can do ni kukukubaliana au kutokukubaliana na mojawapo au zote. Still, principals za kwenye sayansi hazi-prove kwamba zile za dini ziko wrong, au hata za dini hazi-grantee a proof kwamba za sayansi zina makosa.

After all, if ur sure kwamba God does not exist, why should you be bothered? Stay cool!
 
KIRANGA,
RHETORIC. You have picked your side and i have picked mine. GOD to me is matter of fact, faith. That you can lump HIM with fairy tale characters makes me fear for your soul, by and by you will see the hand of GOD in your life, the day HE will smack your unbelieving self.

Faith is the opposite of fact, fact is what is established by experience and can be verified, by his very supposed nature god can neither be verified nor comprehended, this is why god is a matter of belief and faith, not fact.

Kwa nini nisimlinganishe mungu na the fairies? Wote hawaonekani, wote ni characters wa vitabu vya hadithi, wote wana nguvu za ajabu kwa mujibu wa hadithi zao.

You fear for my soul? What exactly is a soul? Where does it reside? Have you ever seen one? Measured it?

Hakuna mtu anayeweza kututhibitishia uwepo wa soul, soul ilitumika kuelezea uhai kwa watu waliokuwa hawajajua baiolojia ya uhai, kadiri watu wanavyoelewa baiolojia inavyofanya kazi, wanaona kwamba the soul is a fiction kama vile walivyokuja kugundua kwamba lightning and thunder zinasababishwa na umeme na sio mungu aliyekasirika.

Kama unaamini kuna soul, na kuna mungu, unaamini nini kingine? Jua linazunguka dunia? Musa alipasua bahari ya Sham? Radi inatokana na hasira za mungu?

Mbona hamna mtu anayenijibu maswali yangu kwamba inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote atengeneze ulimwengu wenye uovu kama huu? Inakuwaje mungu akubali tetemeko l ardhi liue watoto wasio hatia huko Haiti? Hata mimi ningekuwa mungu mwenye uwezo wote na upendo wote ningeweza kutengeneza ulimwengu ulio bora kuliko huu.

Hebu angalia definition ya neno fact, halafu utuambie ni vipi mungu anakuwa fact

fact   [fakt] Show IPA
–noun
1.
something that actually exists; reality; truth: Your fears have no basis in fact.
2.
something known to exist or to have happened: Space travel is now a fact.
3.
a truth known by actual experience or observation; something known to be true: Scientists gather facts about plant growth.
4.
something said to be true or supposed to have happened: The facts given by the witness are highly questionable.
5.
Law . Often, facts. an actual or alleged event or circumstance, as distinguished from its legal effect or consequence. Compare question of fact, question of law.
-Idioms
6.
after the fact, Law . after the commission of a crime: an accessory after the fact.
7.
before the fact, Law . prior to the commission of a crime: an accessory before the fact.
8.
in fact, actually; really; indeed: In fact, it was a wonder that anyone survived.

Fact | Define Fact at Dictionary.com
 
NADHANI WANA SCIENCE WA HUMU JAMVINI wameshindwa kabisa kumwelewa ABDULHALIM, yeye sio anapinga hii hoja ya kuwa science iko juu ya dini, lakini swali lake ni kuwa HIYO SCIENCE HIKO JUU KWA KIGEZO KIPI?, KAMA KUNA MWANASAYANSI ANAYEWEZA KUMFAFANULIA HILO INGEKUWA NDIO MWANZO WA MJADALA

NADHANI HATA SAYANSI YENYEWE NDIPO INAPOBASE HAPO, KITU KIMOJA KINATOFAUTIANA NA KINGINE KWA SIFA MOJA NA WALA SIO KWA SIFA AMBAZO HAZIHUIANI, KWA BASIC SAYANSI KABISA, UNAPOTOFAUTISHA BASE NA ACID UNAFATA VIGEZO VINAVYOFAFA, MFANO

TASTE: BASE=BITTER, ACID=SOUR , HAPA TOFAUTI NA COMPARISON NI TASTE

UKIANGALIA DIAMOND NA GRAPHITE ALMOST ZIKO SAWA, ZOTE NI CARBON LAKINI UKIJA UKIZIKOMPARE ILI UTAFAUTISHE MOJA NA NYINGINE NI LAZIMA UTUMIE VIGEZO VINAVYOFANANA NA HAPO NDIPO UTAKAPOONA TOFAUTI YA DIAMOND NA GRAPHITE

POINT YA ABDULHALIM NI SAYANSI INAIZIDI DINI KATIKA LIPI? TOENI VIGEZO TUANZE KUJADILI

Unafuatilia mjadala?

Mbona hili lishajibiwa.
 
Kiranga,
Uko sawa kabisa, ndiyo maana sayansi ikawa siyo sawa na religion. Usichukue appraoach ya kwenye religion ukaipeleka kwenye sayansi and vice-versa. The most you can do ni kukukubaliana au kutokukubaliana na mojawapo au zote. Still, principals za kwenye sayansi hazi-prove kwamba zile za dini ziko wrong, au hata za dini hazi-grantee a proof kwamba za sayansi zina makosa.

After all, if ur sure kwamba God does not exist, why should you be bothered? Stay cool!

Sijachukua approach ya science na kui apply kwa religion wala vice versa.

Nimechukua approach ya reason, nika i apply to both science and religion. Science na religion zote zina claim kufuata reason, ndiyo maana kuna watu kama kina Mtume Paulo, St Augustine, Anselm na wengine wengi kama hao katika dini nyingine etc wameandika treatise nyingi tu kuhusu dini, lakini ukiwaweka kwenye mizani ya reason wanashindwa hata kama utaangalia point moja tu ya uchunguzi. Watu walipoanza kuchunguza mungu alikuwa anafanya nini kabla ya kuumba dunia St. Augustine famously akawa discourage kufanya uchunguzi kwa kuwaambia "alikuwa anakutengeneza motoni kwa wote wenye maswali kama hayo". Huwezi ku reason bila uchunguzi.

In this test of reason applied to science and religion, religion was found wanting. Ndiyo maana nikasema Science imeishinda dini.Dini haina uchunguzi, kitu ambacho kiko reasonable katika ufikia ukweli. Sayansi ina uchunguzi, kitu ambacho ni reasonable katika kufikia ukweli.

Religion cannot be reasonable from the simple fact that it is founded on faith and emotions, faith and emotions are poisoning to reason. Science is more reasonable than religion because it is founded on examination, research, review and discourages faith and emotions. Ndiyo maana nasema science wins over religion.

After all, if ur sure kwamba God does not exist, why should you be bothered? Stay cool!

Sikuanzisha thread, nina respond to a thread, point ya kujiandikisha hapa JF si ku "stay cool" ni kubadilishana mawazo.Kama unataka ku "stay cool" na wewe stay cool, the first step would be by not posting. Huwezi kuniambia mimi ni stay cool wakati wewe unapost, hiyo ni forum imperialism. I can see right through this Godzilla mentality. Soma banner hapo juu "Where we Dare to Talk Openly". Get it? It doesn't say "Where we Stay Cool". Sasa kama una points za kumtetea mungu wako asiyeweza kujitetea mwenyewe zilete hapa, kama huna stay cool, lakini usitake kuwafumba watu midomo na comments zako za "Stay Cool". Sehemu nyingine utalundikwa kundi moja na madikteta na ma censor ambao hawatakai ukweli usemwe na hawawezi kujibizana kwa points.

Ni muhimu si tu kujua kwamba mungu hayupo, bali pia kusahihisha popote pale unapoona watu wanataka kum push and shove huyu mungu asiyekuwepo though our throats.
 
Fine, the argument may be silly to you, but you failed to show so to the forum.

The whole point of registering and writing here is to exchange views, sasa kama wewe unakuja na kusema "silly argument" bila kutuelewesha tunaona umeshindwa kuwasiliana.

Au simply huna point za ku counter ndiyo maana unaishia kusema "silly argument", especially kwa sababu hata baada ya kuwa challenged kuonyesha silliness iko wapi umeshindwa.

Umeback down from a challenge, ume lose face, ume chicken, umeonyesha unasema vitu ambavyo huwezi kuvi back up.

Nimeback-down challenge gani? Nadhani huwa unakurupusha kujibu posts bila kuzisoma na kuzielewa.

Rejea posts # 18 na #22. Nilishahitimisha hii hoja kitambo sana kwa kusema huwezi kupima mizigo miwili bila kutumia mzani uleule, hutopata matokeo sahihi, bali utakuwa ni ukichaa. Sasa nashangaa bado unarukaruka tu kaa mbayuwayu.
 
Umeback down challenge ya kuonyesha kwamba sijajibu satisfactorily.

Rejea post # 49.

Nimeonyesha jinsi gani dini na sayansi zote zina claim kufuata reason, kwa hiyo reason ni mzani unao apply kote.

Nimeonyesha ni jinsi gani kwa kutumia mzani wa reason dini ina fall short.

Kwa hiyo point yako ya kwamba sijatumia mzani unao apply kwa nyanja zote iko moot, kaput, haihusiki hapa, haifanyi kazi.
 
Rejea post # 49.

Nimeonyesha jinsi gani dini na sayansi zote zina claim kufuata reason, kwa hiyo reason ni mzani unao apply kote.

Nimeonyesha ni jinsi gani kwa kutumia mzani wa reason dini ina fall short.

Kwa hiyo mzani umebadilika kutoka 'uchunguzi' mpaka 'reason'? Ok fine..

Hoja kuwa dini inafuata reason unaitoa wapi? (usiniletee isolated cases, maana mlitaka tokea mwanzo kutumia 'religion' kama one entity / institution )
 
What was the color of the hand of god? What approximate measurements was it? When did god create science? What nature of man did god know?

Opinions are like asses, everybody has one, facts on the other hand, are sacred.

And god is not a matter of fact, god is a matter of faith. Unprovable, unverifiable entity. Right up there with Father Christmas, Santa Claus, The Easter Bunny, Snow White and The Seven Dwarfs. Tinkerbell and all the fairies, The Loch Ness Monster, Popobawa, the genies, the angels, the devil and all the other fictional characters.

Hoja za jinsi hii na ndio hzo ambazo hata wanasayansi wakiulizwa hawawezi kujibu : when do you think the human being started to live, and when did science start...and why before 18-20th centuries there were less scientific theories than nowdays?..How gave a scientist a brain to think the way he can do?. and why do you think science is lead by few celebrities like Newton and the rest and not all human beings in the Earth?. Why do scientific theriories are assisted by brains and human bodies to deliver logics to people?

You may end up having alot of " questions which can not be answered by Science.!!.
 
Sijachukua approach ya science na kui apply kwa religion wala vice versa.

Nimechukua approach ya reason, nika i apply to both science and religion. Science na religion zote zina claim kufuata reason, ndiyo maana kuna watu kama kina Mtume Paulo, St Augustine, Anselm na wengine wengi kama hao katika dini nyingine etc wameandika treatise nyingi tu kuhusu dini, lakini ukiwaweka kwenye mizani ya reason wanashindwa hata kama utaangalia point moja tu ya uchunguzi. Watu walipoanza kuchunguza mungu alikuwa anafanya nini kabla ya kuumba dunia St. Augustine famously akawa discourage kufanya uchunguzi kwa kuwaambia "alikuwa anakutengeneza motoni kwa wote wenye maswali kama hayo". Huwezi ku reason bila uchunguzi.

In this test of reason applied to science and religion, religion was found wanting. Ndiyo maana nikasema Science imeishinda dini.Dini haina uchunguzi, kitu ambacho kiko reasonable katika ufikia ukweli. Sayansi ina uchunguzi, kitu ambacho ni reasonable katika kufikia ukweli.

Religion cannot be reasonable from the simple fact that it is founded on faith and emotions, faith and emotions are poisoning to reason. Science is more reasonable than religion because it is founded on examination, research, review and discourages faith and emotions. Ndiyo maana nasema science wins over religion.

Sikuanzisha thread, nina respond to a thread, point ya kujiandikisha hapa JF si ku "stay cool" ni kubadilishana mawazo.Kama unataka ku "stay cool" na wewe stay cool, the first step would be by not posting. Huwezi kuniambia mimi ni stay cool wakati wewe unapost, hiyo ni forum imperialism. I can see right through this Godzilla mentality. Soma banner hapo juu "Where we Dare to Talk Openly". Get it? It doesn't say "Where we Stay Cool". Sasa kama una points za kumtetea mungu wako asiyeweza kujitetea mwenyewe zilete hapa, kama huna stay cool, lakini usitake kuwafumba watu midomo na comments zako za "Stay Cool". Sehemu nyingine utalundikwa kundi moja na madikteta na ma censor ambao hawatakai ukweli usemwe na hawawezi kujibizana kwa points.

Ni muhimu si tu kujua kwamba mungu hayupo, bali pia kusahihisha popote pale unapoona watu wanataka kum push and shove huyu mungu asiyekuwepo though our throats.

Kiranga,
I would not like to go into the history of some people's writings about religious matters, faiths. The point I would like to make is that everyone agrees that religious beliefs are all founded on faith, and not on scientific reasoning or tools, why should you then we project them for test somewhere where you reasoning tells you for sure that they do no belong?

After your birth, I know you were able to do some limited choices from the moment you become a bit grown up. In a very similar line of your reasoning, if I can ask these question:

Did you anyway, choose:

  1. to be born?
  2. your sex at the time of your birth or just before your birth?
  3. the place/ country where you wrere born (whether in Africa, Europe, Asia, etc)?
  4. your father and mother as well as their tribes/origins? Etc (The list of questions is exhausting but for now, the above can do you a better job.)

If your answer is a NO, then you must conquer with the reality that there are certain things in life we are obliged to receive and accommodate them as they are! Nilipokuwa nasema kwamba "Stay Cool", sikuwa namaanisha kwamba usipost, NILIKUWA NAAMANISHA KUWA SABABU UMESHAJIRIDHISHA KWAMBA MUNGU HAYUPO, BE COMFORTABLE NA HIYO HALI NA USIONEKANE KM UKO BOTHERED NA KITU FULANI, ndugu yangu?

By the way, at what scenarios, can the realm of logical reasoning be completely applied to faith?

Mind you, there are spiritual worlds ambako tools zote unanazizijua kuwa zinafanya kazi they do not do any better huko. Watu wanofundisha ASTRAL PROJECTION kwa mfano, nasikia huwa wana disclaimer inayokutaka kuwa uki-shakuwa revealed na hiyo knowledge watakayokupa usije uka-imissuse especially kwa kutake advantage ya nafsi yako!
 
Hoja za jinsi hii na ndio hzo ambazo hata wanasayansi wakiulizwa hawawezi kujibu

Unakusudia hoja gani? Kama unakusudia maswali yangu kuhusu rangi ya mungu, kwanza kabisa huwezi kujibu swali linalohusu kitu ambacho hakipo, kwa hiyo wanasayansi wakishindwa kujibu ni sawa kabisa, utajibuje swali kuhusu rangi ya kitu ambacho hakipo?

: when do you think the human being started to live, and when did science start

Majibu ya maswali haya mbona yashapatikana siku nyingi? Na yapo hata online? Google is your friend. What is your point exactly? Hata nikikwambia sijui, does that prove god exists? Does that prove kwamba natakiwa niamini ninachoambiwa na watu wa dini na vitabu vyao?

...and why before 18-20th centuries there were less scientific theories than nowdays?

Science has the answer, the second law of thermodynamics. Read it up.

..How gave a scientist a brain to think the way he can do?

I presume the "How" was a typo and you intended "who". My question is, why do you think there must be someone to give scientists intelligence? Watu wa dini mnanichekesha sana na double standards zenu, on the one hand mnaamini kwamba intelligence/ complexity inaweza kuwepo bila kuumbwa, as in the case of god, kwamba yeye hakuumbwa ila ana unimaginable intelligence, on the other hand mnasisitiza intelligence ya binadamu ni lazima iwe na muumbaji, nashindwa kuelewa hapa, kama intelligence kuu ya mungu, ambayo inaipita infinitely intelligence ya binadamu, imekuwepo bila muumbaji, kwa nini mnafikiri intelligence ndogo ya binadamu (kwa kuilinganisha na ya mungu) inahitaji muumbaji?

Ni sawa na uniambie kwamba ulimwengu wote na ma galaxies, clusters, superclusters etc unaweza kutokea wenyewe bila muumbaji, halafu ukasisitiza kwamba kipande kimoja cha mchanga hakiwezi kutokea chenyewe bila muumbaji, it is absurd.

Kama kipande kimoja cha mchanga ambacho kiko very simple hakiwezi kutokea chenyewe bila muumbaji, surely ulimwengu wenye ma googleplex ya complexity ukiulinganisha na kipande kimoja cha mchanga hauwezi kutokea bila muumbaji.

Kama binadamu (kipunje cha mchanga) ambaye yuko relatively simple ukimlinganisha na mungu (universe) hawezi kupata intelligence bila muumbaji, then huyo muumbaji wake (mungu) ambaye yuko infinitely more complex and more intelligent kuliko binadamu, naye atahitaji muumbaji, si tushaona kwamba intelligence inahitaji creator bwana? Utaona hii argument ya "intelligence inahitaji creator" haina ukweli, kwa sababu inaenda katika an endless infinitum.

and why do you think science is lead by few celebrities like Newton and the rest and not all human beings in the Earth?

Where do you get your science? Science is a collaborative effort, Newton is long dead and some of his ideas have been upgraded anyway. Ukiiuliza kwa nini science inaongozwa na watu wachache nitakushangaa, na wala swali lako halileti maana, kuongoza maana yake ni kuwa mbele, huwezi kuwa na crowd lote mbele, huko hakutakuwa kuongoza tena, ukishaweka "lead" tayari unaongelea kikundi fulani kilichopo mstari wa mbele, kwa hiyo katiuka nyanja yoyote leadership inakuwa ya watu wachache/ kikundi fulani, then masses inafuatia.

The difference between science and religion is, leadership ya science iko based on merit na ina kubali challenges, wakati leadership ya religion (ambayo by the way nayo ni ya watu wachache, tena wachache zaidi ya wanasayansi depending on your definition of who a leader is) is based on tradition.

Ni rahisi kwa mtu wa kawaida kupata nishani ya kisayansi kama ya Nobel kuliko kuwa papa kwa mfano.

Sasa kati ya sayansi na dini kipi kinaendeshwa na a few celebrities?

Why do scientific theriories are assisted by brains and human bodies to deliver logics to people?

Why do scientific theories are assisted by brains and human bodies to deliver logis to people?

Seriously? Mazee usijiumbue namna hii, kama vitu huviwezi uliza Kiswahili tu, si lazima kuandika kiingereza ili uonekane mjuzi. Swali lako halina mantiki, wewe ulitaka sayansi itumie nini? Bongo za ET ? Science imejengwa katika msingi wa kuzielewa na kuzitumia natural resources and forces, sasa resource yetu ya kwanza binadamu ni ubongo, sasa kwa nini una question wanasayansi kutumia mbongo zao kufikiri na kujenga hoja? Ulitaka watumie nini?

You may end up having alot of " questions which can not be answered by Science.!!.

Science haijasema ina jibu la kila swali, as a matter of fact ukiangalia science na dini na kuzilinganisha kuhusu kipi kinajifanya kuwa na jibu la kila swali, utaona dini inajifanya kuwa na jibu la kila swali kuliko science.

Science inasisitiza uchunguzi, mchunguzi silaha yake ya kwanza ni kujua kwamba hajui, kwa sababu bila kujua kwamba hujui huwezi kuanza process ya kutaka kujua. Having a lot of questions which cannot be answered by science is perfectly fine to a scientist, in fact the true scientist is always trying to look for questions which cannot be answered by science, not trying to answer these questions on the other hand is unacceptable. Religion is not trying to answer difficult questions, questions such as "What was god doing before he created the earth" St Augustine anawatisha waliouliza hili swali.

Hata Buddha, one of the most sensible and intelligent leader of what some consider to be a religion (Buddhism) alipoulizwa kuhusu the nature of the physical universe alilidismiss swali hili kwamba si la muhimu. Dini haijibu maswali lakini inajitia kujua jibu la kila swali, sayansi ina majibu ya maswali mengi lakini ina value kuwa inquisitive.

Ndiyo maana watu wana toil kwenye ma lab na kwenye mitabu huko wakitafuta majibu.

Lakini hata wasipopata majibu, haimaanishi kwamba jibu lako utakaloli pull out of thin air, kwamba "sababu ni mungu" litakuwa sahihi.
 
Kiranga,
I would not like to go into the history of some people's writings about religious matters, faiths. The point I would like to make is that everyone agrees that religious beliefs are all founded on faith, and not on scientific reasoning or tools, why should you then we project them for test somewhere where you reasoning tells you for sure that they do no belong?

After your birth, I know you were able to do some limited choices from the moment you become a bit grown up. In a very similar line of your reasoning, if I can ask these question:

Did you anyway, choose:

  1. to be born?
  2. your sex at the time of your birth or just before your birth?
  3. the place/ country where you wrere born (whether in Africa, Europe, Asia, etc)?
  4. your father and mother as well as their tribes/origins? Etc (The list of questions is exhausting but for now, the above can do you a better job.)

If your answer is a NO, then you must conquer with the reality that there are certain things in life we are obliged to receive and accommodate them as they are! Nilipokuwa nasema kwamba "Stay Cool", sikuwa namaanisha kwamba usipost, NILIKUWA NAAMANISHA KUWA SABABU UMESHAJIRIDHISHA KWAMBA MUNGU HAYUPO, BE COMFORTABLE NA HIYO HALI NA USIONEKANE KM UKO BOTHERED NA KITU FULANI, ndugu yangu?

By the way, at what scenarios, can the realm of logical reasoning be completely applied to faith?

Mind you, there are spiritual worlds ambako tools zote unanazizijua kuwa zinafanya kazi they do not do any better huko. Watu wanofundisha ASTRAL PROJECTION kwa mfano, nasikia huwa wana disclaimer inayokutaka kuwa uki-shakuwa revealed na hiyo knowledge watakayokupa usije uka-imissuse especially kwa kutake advantage ya nafsi yako!

You are wrong to assert that religion does not claim to be founded on reason. Religion claims that it is based on faith, a faith that is based on reason.

Soma vitabu vya mtume Paulo, soma St. Augustine, soma Anselm, soma Buddhism texts, soma hapa chini uone Quran inavyosisitiza umuhimu wa reason

Emphasis of the Quran on Reason

Kwa hiyo usitake kusema kwamba kipimo cha reason hakizihusu dini, kinazihusu sana, kwa sababu dini zinajifanya kuwa zimetokana na reason bila ku acknowledge ukweli kwamba reason na faith havichanganyiki. Reason inaenda na uchunguzi, faith inaenda na kukubali bila uchunguzi. Religious people want to eat their cake and still have it too, it wont happen because it is against the natural laws of physics, you either embrace reason or faith, the two do not mix.

Kwa hiyo ukitumia kipimo cha reason, kipimo kinachokubalika kote katika sayansi na dini, sayansi inashinda.

Kuhusu hizo spiritual worlds, can you prove kwamba zipo? Au unasoma story tu kwenye vitabu?

Mimi nikikwambia hadithi zangu kuhusu spiritual worlds ambako kuna mungu mwenye miguu sita na jicho moja utaziamini? kama hutaziamini kwa nini uamini hizi unazoambiwa kwenye vitabu vyako?
 
Back
Top Bottom