Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,142
- 13,216
Yule ondia maarufu na ambaye pia ni mchezaji wa soka ameandaliwa pambano maalum la kirafiki dhidi ya bondia mkongwe Fransis Cheka litakalofanyika Jumapili hii ukumbi wa Azam FC Chamanzi. pambano hili litatangulia pambano lingine kati ya Yanga na Villa Squad