Step by Step OSX on a PC PDF instructions

Nimefanikiwa tena kwenye Toshiba Satellite Laptop kuweka Leopard 10.5.5.



Bado nashughulika na Wi-Fi ambayo inatumia Broadcom 802.11 b/g/n na Qe/CI ambayo hii laptop ina graphic card ya Intel HD, nimejaribu na efi string for Intel imegoma.

Lakini vitu vyote vinafanya vyema tu. Kama kuna mwenye msaada pia anakaribishwa kwa mchango wa mawazo kumalizia hapa palikobaki. Muda si mrefu nitafanikiwa naamini na kila kitu kitafanya kazi vyema.
 
Last edited by a moderator:
Nimefanikiwa tena kwenye Toshiba Satellite Laptop kuweka Leopard 10.5.5.



Bado nashughulika na Wi-Fi ambayo inatumia Broadcom 802.11 b/g/n na Qe/CI ambayo hii laptop ina graphic card ya Intel HD, nimejaribu na efi string for Intel imegoma.

Lakini vitu vyote vinafanya vyema tu. Kama kuna mwenye msaada pia anakaribishwa kwa mchango wa mawazo kumalizia hapa palikobaki. Muda si mrefu nitafanikiwa naamini na kila kitu kitafanya kazi vyema.


Wewe umekuwa sasa Mchawi ningelikuwa bongo ingebidi tuonane unipe na mimi huo ujuzi wa kubadilisha hiyo Windows OS kwenda OSX Ubarikie mimi pia nipo kwenye mipango hiyo hiyo nikifanikiwa nitakujuulisha haraka iwezekanavyo asante Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wewe umekuwa sasa Mchawi ningelikuwa bongo ingebidi tuonane unipe na mimi huo ujuzi wa kubadilisha hiyo Windows OS kwenda OSX Ubarikie mimi pia nipo kwenye mipango hiyo hiyo nikifanikiwa nitakujuulisha haraka iwezekanavyo asante Mkuu

mkuu, niko najitahidi na kuongeza kiwango cha uelewa. Ipo siku hakuna kitakachokuwa kigumu maana nazidi kupata experience
 
Mkuu Kimokole iangalie hii imekaje?
How to install Leopard on HP Pavilion Elite Desktop
Step 1 - Getting Ready (Updated 25/05/10)

- Download and Burn the DVD image iAtkos v5i, or Another one like iPC, Leo4all, iDeneb, in this case I will use iAtkos v5i
- Download and Extract the Bios v5.39 MOD by DJ Osiris or v5.23 by Kabyl make sure your Motherboard model is Asus IPIBL-LB. If your PC is similar but your motherboard is Asus IPIBL-LA you can try this 5.08 or 5.13, this is not a MOD bios but work perfect
biggrin.png
(Thx, igotjshoe)
- Download and Extract Afuwin
- Prepare your Partition or your Hard Disk to install Leopard, if you dont wanna mess up with dual boots, install the system in a secundary HDD

Step 2 - Modding the Bios (Updated 12/02/10) DO NOT USE WINDOWS 7 FOR THIS

To flash the ROM Bios you have to open Afuwin make sure you are the administrator.

This is what you have to do in Afuwin, make sure your not running weird programs:

IMPORTANT: Make a Backup of your BIOS
afuwin.jpg


Be careful about the BIOS Flashing, if you dont wanna flash the BIOS just try cpus=1 in darwin

Step 3 - Installing Leopard (Updated 13/10/08)

Click Here for Screenshots!

- Restart your computer and go to the BIOS
- Go to Advanced Tab, set your SATA1 Controller Mode to AHCI Mode
- Now go to the Power Tab and Enable the processor's XD Features, Saving and Exit.
- Boot into the DVD by pressing ESC key at the BIOS Prompt and the installer should load now.
- Select your Language
- Use Disk Utility from the Utilities menu. In Disk Utility, Select your Partition, and format you should choose Mac OS Extended (Journaled). After partitioning, quit Disk Utility to return to the Leopard Installer. Important: Partitioning the disk erases the entire disk, so make sure you back up your important files first.

Step 4 - Customize (Updated 09/01/09)

iAtkos V5i Main System
Bootloader:
- PC Efi v9
X86 Patches:
- Decrypters:
-- AppleDecrypt
- SMBIOS Drivers:
-- Apple SMBIOS Enablers:
--- SMBIOS-EFI
- Disabler.kext
- OHR
- PS/2 (For these with PS2 Keyboard/Mouse)
- Remove Thermal Kexts
Drivers:
- VGA
-- NVinject
-- nVidia:
--- EFI String for nVidia:
---- 8600 GT 512MB
System:
- SATA/IDE:
-- Intel AHCI SATA

- Leopard will now install. This can take a while, so be patient.
- It will ask you to Reboot and dats it.

Step 5 - Dual Boot

Check this link to dual boot Vista/Leopard

Post Installation (Updated 09/01/09)

You'll need to install the driver for the Wireless
Wireless: HERE (Ralink RT73)

Fixing Audio and Sleep for OSX 10.5.6 (Updated 09/01/09)

Audio: HERE (ALC888S)
Sleep Issue: HERE
Video: HERE (8400-8800)

Fixing Shutdown 10.5.8 (Updated 13/09/09)
Install this for LAN

Add efi strings for Ethernet and reboot

How to fix unknown processor string in "About this Mac"

go to System/Library/CoreServices/Resorces/English.lproj

You will find a file "AppleSystemInfo.string" open it using TextMate and find "UnknownCPUKind" = "Unknown";
replace unknown with the type of your processor for example, Intel® Core™2 Quad. make sure you change only letters only not the special characters like =, " or ;. Save it, it will ask for your permission, enter your password and you are all set, no need to reboot.

How to change "About this Mac Graphic"

To use these you need to backup the current MacOSX.tif in /System/Library/CoreServices/loginwindow.app/Contents/Resources and then delete MacOSX.tif

Then rename the file you download to MacOSX.tif and copy it to /System/Library/CoreServices/loginwindow.app/Contents/Resources

Then fix permissions.

Logout and login then view About This Mac.

And Check HERE for lots of icons
biggrin.png


TIPS:
About Leopard Fails Sleep when idle, some apps like Paragon NTFS or MacFuse can affect the OS, try deactivating them and thats it, this Issue even affect the MacBook Pro.

Heres a Preview:


Update: After Mod you can install any version, even retail version
biggrin.png


TO INSTALL SNOW LEOPARD IN HP PAVILION CHECK THIS GUIDE BY OUIJA
How to install SNOW LEOPARD on HP Pavilion Elite Desktop

Picture1-2.jpg


P.D: Sowwy about my English and Good Luck
smile.png


Archive with OLD Comments
Last edited by icchansan; 05-25-2010 at 04:22 PM.​
HP Pavilion Elite m9250f
iAtkos v5i (10.5.8), Asus IPIBL-LB MOD BIOS, Intel Quad Core Q6600, 4GB RAM (800mhz), 2x500GB, nVidia 8600GT (Works), ALC888S (Works), Wireless RT73 (Works), LAN (Works) - How to Install - Blog - Hardware Combos - FAQ by TJ2K7
Macbook Pro 13"
Follow meh: @icchansan
 
Mkuu Kimakole nimejaribu kuibadilisha Setup yangu ya Bios kuwa Default lakini bado napata Eror katika ku install Ideneb - V1-3-10.5.5 Mac Leopard na pia nimejaribu IATKOS S3-V2 -Snow Leopard pia hali ni hiyo hiyo napata kwenye intsallation Error naomba msaada wako mkuu nimekwama kichwa kinaniuma hebu angalia hiyo Video inayoonyesha hiyo Error asante


 
Last edited by a moderator:
Vipi hali yako Mkuu mimi sijambo. Hii IDENEB-V1-3-10.5.5 Mac Snow Leopard,Nimejitahidi Ku install Kwenye Laptop yangu Ya Casper Nirvana Tatizo moja

nimejaribu Ku connect internet haikubali nimejaribu ku Set kwa kadiri ya uwezo wangu lakini mpaka sasa sijapata internet connection napata Sauti lakini sipati i

nternet connection nakuomba msaada wako unisaidie nifanye nini ili niweze kupata internet na ku Upodates hii IDENEB-V1-3-10.5.5? Nimefanikiwa kivipi Ku install hii

IDENEB-V1-3-10.5.5 Mac Snow Leopard kwenye hiyo Laptop yangu ya Model CAsper Nirvana intel Core 2Duo P7350 CPU. 2.00 Ghz. 3MB L2 Cache, 1066 Mhz FSB. 4GB RAM DDR2, 667 MHZ. 360 SATA HardDisk. 1GB Nvidia Geforce G105 Graphic card.

hiyo ndiyo Model yangu ya Laptop na nimeweza kuinstall IDENEB-V1-3-10.5.5 Mac Snow Leopard nilibadilisha kwenye Bios Setup nilikwenda kwenye Phoenix Biso setup Utility Advannced nikabadilisha hapa kwenye Installed O/S nikaweka (Vista) Kwenye

SATA Mode Selection nikaweka hii (AHCI) kisha nika SAVE And Exit kuweka DVD ika install nikabonyeza (F8) ikaja inaniambia niweke -V kuweka tu haikuchelewa ikaja ile

mahali pa kuweka Lugha nikaenda kama inavyo takiwa kisha nikaweka enda kwenye Disk Setup Utility nikaweka Hard Disk jina la Macintosh HD nikaiweka Patrition kisha nikaendelea kua (Apply) kisha nikaenda kwenye (Costomize) kuweka Drive nikaweka

(Tick) yote kasoro pale pa Lugha tu sikuweka sasa nilipomaliza hapo nika Accept Makuabliano mimi na Apple kisha nikaendelea mbelea ku install IDENEB ilipokwisha ikaniambia ni Restart computer nilipo Restart Computer kabla haijafunguka nikatowa

DVD kwenye Laptop yangu kisha kabla haijawaka ikarudia tena ile ile njia nikaweka hi -V Tena ikafunguka sasa nilipojaribu ku connect internet hajakubali hilo ndilo tatizo

langu? kuna mahali nimeruka? na imefuta ile Windows XP yangu kwenye Laptop yangu Je naweza kutumia IDENEB pamoja na Windows XP? Mpaka sasa kwenye ile Desktop yangu hajakubali wala kubadilika kuwa SATA MODE kutoka (IDE) kuwa (AHCI) ningejisikia raha kuiweka hii kwenye Desktop yangu nakuomba ushauri wako

Picture 001.jpg Picture 002.jpg Picture 003.jpg Picture 004.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom