Stendi ya daladala ya Mwenge kuhamishiwa Makumbusho

Hata wewe pia unauliza maswali kama mimi, sio mimi aliyeleta hii mada, hata mimi pia najiuliza maswali mengi inawezekana pia hata mada yenyewe ni uzushi na haina ukweli, kwa hiyo sio haki kuanza kuwahukumu watu (watendaji) bila ya kuwa na ukweli wa taarifa! kwa kifupi mimi sijui labda muulize aliyeleta habari!
hii habari siyo uzushi ndugu yangu...kama huamini kama menge inavunjwa na kuhamishiwa makumbusho subiri sensa iishe ndio utaona...au kama huamini nenda manispaa ya kinondoni kaulize...utashangaa utakachoambiwa...watu wako maofisini wanapiga hesabu ya namna ya kupiga hela tu!...wakishakihamishia makumbusho utashangaa tena wanasema kule nafasi haitoshi tunaamua kukihamishia mwenge...too foolish!
 
Back
Top Bottom