Stella Manyanya pamoja na kujipendekeza kote hajapata uwaziri?!

Mama wa Richmond kwishney

alijipambanua kama mama mpambanaji wa mafisadi kumbe ilikuwa njaa
 
Wabongo bwana..sasa mnataka awe mbunge, mkuu wa mkoa na waziri?? si wendawazimu huu?? af akiteuliwa mnalalamika..WTF??
 
Huyu mama mimi mwanzoni niliamini ni mpambanaji nilipogundua kuwa ni gamba gumu ni pale alipo kuwa anamwambia deo filikunjombe asiitishe maandamano kwenye jimbom lake kupinga utendaji mbaya wa wizara ya uchukuzi ambao wamekuwa mabingwa wakutoa rambirambi ajali za majini zinavyotokea!!!!!!!!!!!!!!!!
 
alipo kuwa anamwambia deo filikunjombe asiitishe maandamano kwenye jimbom lake

ndo kujipendekeza kwenyewe huko, mkuu wangu.

asubili tena. maana mkulu hapatagi shida kuvunja baraza, labda anaweza kumuona.
 
Si haba, mkuu wa kaya alimteua kuwa RC Rukwa, huenda ndio anamuandaa hivyo siku akifanya reshuffle anamuingiza kwenye cabinet.

Ni kweli, ukimwangalia on her back si mvivu, na jamaa anavyofurahia atakuwa keshamweka kwenye listi
 
Back
Top Bottom