Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
ni kweli eeehlowasa kichwa wewe! Kichwa cha lowasa ni sawa na wanachama wote wamagamba, sasa unatarajia nani wakumzidi pale? Km ni raisi kamuweka yeye, km ni spika kamuweka yeye, kama ni mawaziri kawaweka yeye, kama ni katibu mkuu wa magamba kamuweka yeye, acha kabisa mkuu, zile level za kina george bush.