Statesmen (marais wastaafu) - wabaki washauri wa jumla kwa siasa za ndani.

kifuniboy

Senior Member
Nov 25, 2010
191
17
Hainingii akilini kuona rais mstaafu anapanda jukwaani na kuanza kumnadi mgombea ubunge. Nionavyo mimi ni busara zilizojaa kuwa washauri wa jumla wa namna nchi yetu inavyo weza kustawi kwa kujali uongozi bora. Hii itatoa nafasi nzuri kwa vyama vyote vya siasa kupata mwanya wa kuzungumza na vyama vyote kwani nina amini lengo letu ni moja la KUJITAHIDI KULETA USTAWI WA WATU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. ALIESTAFUU HATAKUWA TENA ANAJALI CHAMA CHAKE TUU BALI RAIA WAKE WOTE.

MAWAZO YANGU HAYA YANALENGA HASA KWENYE UHALISIA WA RAISI HASA MSTAAFU KUWA NI MTU WA WATU WOTE HASA KAMA DHAMIRA YAKE ILIJENGENKA KATIKA KULETA USTAWI WA WATU WAKE WOTE.

NISIMALIZE UTAMU ILA NINAOMBA MAWAZO KWENYE U-STATESMAN WA WAZEE WETU BAADA YA KUSTAAFU.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom