Statement ya Mhe. Zitto Kabwe : To the Ministers-Nothing to Celebrate, go to work

Reli itajengwaje wakati malori ya wazito yamejaa barabarani? Watawala hawataki kusikia kitu reli.
Mtawala gani Tz anafikiria maendeleo yetu!
Jambo moja la hakika ni kuwa mwisho wao ni mbaya. Wapo kama wale wa Sodoma na Gomora. Ole wao.
 
I'm ready for a change.

Ningelitamani kusikia kauli kama hii yako ya kutaka mabadiliko ikitoka kwa vinywa vya Watanzania walio wengi. Na sio kusikia wakisema tu bali kutenda, kutenda kwenye visanduku vya kura. Najua CCM wataendelea kutisha watu, wataendelea kuhonga na kurubuni lakini ikiwa Watanzania tuko tayari kwa mabadiliko, hatutatishika wakitutisha, tutakula vyao wakituhonga na kuturubuni na ikifika siku ya kuamua, tutaamua mabadiliko. Miaka 50 ni mingi sana kuongozwa na magamba.
 
Back
Top Bottom