Elections 2010 Startv na Radio Free Africa zimepoteza dira

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Moja ya vituo vichache vilivyo kuwa vina aminika kwa kutokuwa na upendeleo na kuwa na uwazi basi ilikuwa startv na RFA, Lakini weeks hizi za mwisho imekuwa ni kinyume kwani wamekuwa wakitangaza na kuzipa coverage habari za CCM A na CCM B pekee. Kwamfano leo katika kipindi cha magazeti asubuhi wameshindwa kusoma Gazeti la Tanzania daima lililo kuwa na kichwa "Jk ajitundika kitanzi" badala yake wakakatisha na kuweka tangazo. Nakuacha tu kwenye Tv inayo tazamwa na watu wachache sana ,Siku zingine ndio kabisa hariguswi .Sizani kama wanapenda ila ni nguvu waliyo nayo mafisadi kwenye vyombo vya habari nchini.
 
Mkuu ni kweli lakini sina hakika kama ilikuwa kusudio lao.
Ofcourse now days most of their news covers CCM.
 
Alafu vp siku hizi RFA matangazo yanakatika katika mara kwa mara mfano leo asubuhi kipindi cha Tanzania tuongee magazeti sikuwapata kabisa mitambo imesha choka nini? Jirekebisheni basi.
 
Hivi Sahara communications inamilikiwa na nani vile...................?
 
Moja ya vituo vichache vilivyo kuwa vina aminika kwa kutokuwa na upendeleo na kuwa na uwazi basi ilikuwa startv na RFA, Lakini weeks hizi za mwisho imekuwa ni kinyume kwani wamekuwa wakitangaza na kuzipa coverage habari za CCM A na CCM B pekee. Kwamfano leo katika kipindi cha magazeti asubuhi wameshindwa kusoma Gazeti la Tanzania daima lililo kuwa na kichwa "Jk ajitundika kitanzi" badala yake wakakatisha na kuweka tangazo. Nakuacha tu kwenye Tv inayo tazamwa na watu wachache sana ,Siku zingine ndio kabisa hariguswi .Sizani kama wanapenda ila ni nguvu waliyo nayo mafisadi kwenye vyombo vya habari nchini.

Kuhusu media yetu inasikitisha. Mimi nimekuwa nikisikiliza Radio One Stereo asubuhi wakati wa kipindi cha magazeti (nafikiri wanakiita Nipashe) hasa week ends na cha ajabu kama main headline ni bad news for CCM basi wamekuwa hawaitaji. It is very shocking! Hata hivi karibuni siku ambapo habari kuhusu kupingwa kwa utafiti wa REDET ilikuwa main news hawa jamaa walijaribu kuficha ukweli huo na kutangaza habari ambazo zilikuwa zimeandikwa kwa fonts ndogo ndogo tu. Lakini nafikiri wanajidhalilisha wenyewe maana ---you can not hide the truth-----
!!!!!!!!!! VOTE FOR THE SAVIOUR, VOTE FOR DR SLAA AND CHADEMA !!!!!!!!!!!
 
Nilicho oona ni kwamba ITV na radio one hawatoi habari nyingi ila wanaziandika kwenye gazeti lao la nipashe zaidi. Namsifu mhariri wa nipashe kwani amejitahidi kutokuwa mnafiki na hivyo kuheshimu professional yake. Kwa upande wa starTv na RFA kuna habari kwamba inamilikiwa na mmojawapo wa wabunge wa CCM aliyewahi kuwa Waziri akaondolewa ili kutenganisha siasa na biashara. jimbo lake linaanza na Nyamag--a nalipo mwanza na jina la mwisho la waziri huyo ni kama la kiitaliano linaishia na lo
 
Back
Top Bottom