Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 570
Hizi fedha wanampango nazo 2015 tunajua kila kitu! kinachotakiwa ni action plana kama vyama vya wafanyakazi vinaweza kutusaidia vipi twende mahakamani waache kula michango yetu bure, sijaona kauli yao nzito yenye maana!
Ni kwamba nchi yetu imemsahau Mungu. Hata kwenye maandiko wamesema " You will reap what you sowed!" IT IS NOT THEIR MONEY. Ufanye kazi kwa shida, umvumilie bosi wa majungu na written warnings kibao halafu mtu anajitanua na hela ambayo ungewawekea watoto wako msingi bora. Naweza hata kuandika Position Paper kwenye ishu hii.
Nani atawaambia vizuri ili waelewe jamani. Yaani hii ishu isichukuliwe kimzaha mzaha na waache maamuzi ya kiimla. Mnyika TUNAWATEGEMEA SERIOUSLY.