"Startup error contact retailer"

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
311
182
Habari zenu wana jamii!
Wajameni mie ninatatizo moja kuhusu simu yangu aina ya Nokia N91 4GB, Yenyewe wakati wakuiflash fundi ikamshinda akadai katika IMEI number digit ya mwisho inaweka alama ya kiulizo. So imemshinda na kasema haitengenezeki tena zamani kidogo kuna makampuni yaliyokuwa yanatoa service hiyo unatuma tu 25$ tu mambo yanawezekana,sasa naomba msaada wenu nitalisolve vipi hili tatizo, samahanini nimeandika mengi nisiwachoshe.
 
Back
Top Bottom