startimes

Dennis eudes

Member
Feb 1, 2012
24
8
msaada jamani, nimesearch manually kwenye king'amuzi changu nimepata channel kama atn, ila hazionyeshi, nifanye nini
hivi hamna njia ya kutumia king'amuzi bure kwa maana gharama zishaanza kunitoa jasho
 
mkuu 9000 kwa mwezi kuchakachuwa sijajua kama kunamafanikio kwenye hivyo ving'amuzi

sema zuku inachakachulika statimes unaweza chakachuwa kwa kufunga dishi ya futi 6 c band
kwa kutumia rsiva ya mpeg4 kwahicho king'amzi bado ufumbuzi
 
zuku inacha

zuku inachakachuliwaje mkuu? Tafadhali naomba unijuze mautundu hayo.!
 
Back
Top Bottom