Startimes vs Ting: Ushauri tafadhali

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,633
10,712
Wadau nisaidieni nataka kununua kin'gamuzi cha bei poa kati ya startimes au ting au kingine chochote lakini si dstv
Pamoja na gharama zao,naomba pia kujua ni kipi ntapata itv,eatv,capital,ctn,dtv,clouds,atn,tbc1,clouds
Au kama zote hazipatikani ktk kingamuzi kimoja basi nijuzeni kila king'amuzi kinakamata tv zipi za kibongo?
Mwisho ni kipi kina channel nzuri za nje ukiondoa za dini, napenda sana michezo,wanyama,documentaries, films na habari.
Your advice will be highly appreciated.
 
nadhani kama ile ya star inazo za TBC,CH 10 Clouds TBC2 na nyingine za nje
 
Mkuu tafuta king'amuzi cha EASY TELEVISION naona kwa bongo hakina mpinzani
 
Nenda easy tv pale karibu na victoria ndio wanaongoza hawa wengine utaliwa tu. Startimes wana ch10, tbc na clouds tv tu zingine zote za nje, easy tv zote za ndani na za nje kibao kama un dish la kwawaida na ting siijui hata
 
Mkuu kuna mpira Easy Televison? Maana hawa Dstv kwa kweli wako very expensive kwa maisha yetu haya ya kibongo. Kama kuna king'amuzi kinaonyesha EPL, Uefa champions league. Plz tujulishane
 
vyote viko pouwa ...ila TING unapata uefa champion league..hiii iko chini ya ATN....STAR TIMES unapata tbc,chanel ten,clouds tv..EASY TV cjui kwa kweli ingawa inasifiwa...bt uamuzi ni wako..mkuu..zote bei pouwa...
 
Easy Television haina soccer ki vile lakini ina chanel zote za kiswahili kasoro Clouds na pia ina chanel lukuki za kenya kisha channel nne zinaonyesha movies 24/7 halafu ma cnn,bbc,sky news,al jazeera na nyingine nyingi za nje chanel zisizopungua 35, unatumia antenna tu na decoder yao malipo kwa mwezi ni 10 tau, sijui installation kiasi gani maaana mimi nilinunua 2007 kwa 90,000
 
vyote viko pouwa ...ila TING unapata uefa champion league..hiii iko chini ya ATN....STAR TIMES unapata tbc,chanel ten,clouds tv..EASY TV cjui kwa kweli ingawa inasifiwa...bt uamuzi ni wako..mkuu..zote bei pouwa...

Heshima kwako Mtu chake,

Mkuu STAR TIME wanaonyesha champions League tupia jicho KBC.
 
EASY TV bado ni bora kwa sasa
unapata movie chanel 4 kwa 24h
bbc,arabic movie,itv,eatv,ch10,capital,star tv,tbc,tvz,tv mlimani,ewtn/tumaini,cnn,c2c/dtv,sports,dubai sports,ktn,kbc,nation,ubc,citizen,euronews,peace tv,cctv 4,mtv,xing kong,phoenix china,channel V,al-jazeera,Ghana
 
Wakuu thanx very much kwa michango yenu kwani sasa nimejua vingamuzi si vya startimes na ting pekee.
Kwa mujibu wa maoni yenu nimevutiwa zaidi na EASY TV ambayo kwanza ina almost tv zote za bongo kasoro clouds tv, pia ina channel za move 24hrs najua na za wanyama na cartoon zitakuwepo my son real like it.
J tatu nikipata nafasi ntawatembelea EASY TV hapo victoria kwaajili ya mpango mzima.
Again thanx a lot u guyz for keeping JF to be a real place for help
 
kwa maoni yangu Easy TV angalau wanaeleweka, unahakikishiwa movies channels kama nne from mbc1, mbc2, mbc3, mbc4 MBC max, MBC Action,
Documentary hawana,
Local channels wamejitahidi mpaka na recently wameongeza Clouds TV,
Nasikitika wameondoa Viasat ghana, ni nzuri sana kwa Series. KTN ya kenya nzuri kwa series, na wana Dubai sports 1, channels inaonyesha bundesliga league and some tennis. UEFA huna haja kuhangaika, TV za kenya, ATN wanaonyesha

Star times/TBC, wana beef na Mengi, kwa hiyo usitegemee ITV, EATV wala Capital, ila kidogo wana documentary na movies kidogo kwenye channels zao

TING wanadai wataweka HBO, kwa wale wanaoijua hii channel ni kiboko kwa movies, wana pia Discovery world - documentary kama star times, ila sio nzuri kama ile ya main Discovery ya DSTV. Ting wamebobea sana channels za Dini nyingi. Kuna AXN hawajaweka, lakini ni nzuri kwa reality shows kwa wanaume
 
Mkuu hawa EAST TV gharama zao zikoje hadi kukamiisha kuifunga ndani. unatumia dish au antena? na gharama zao kwa mwezi
im glad wameongeza na clouds tv
 
Back
Top Bottom