Startimes vipi

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Nimenunua decorder ya startimes.nimetumia siku mbili tu.ya tatu inaleta no signal.nimehangaika na maelekezo ya antenna wapi.kwanini mnauza vitu vibovu
 
Aliyekutuma ukanunue king'amuz cha startimes ni nani? Inamana haya malalamiko yoote wenzio tunayoyaleta hapa huyaonagi? UMEYATAKA MWENYEWE
 
mimi king`amuzi hiki toka juzi hakionyeshi kitu sasa sielewi tatizo nini kweli wananikera sana hawa startimes sijui nifanyeje
 
Chezeni na antena tu! kama No signal ikionekana tatizo ni kwenye antena tu haijawekwa pazuri au imekaa vibaya!
 
Back
Top Bottom