habari yako
startimes HATUJAONDOA chanel yeyote katika orodha ya chanel zetu kama unavyodai, chanel zote zipo kama zilivyokuwa awali. Startimes tunatambua kuwa watanzania wanapenda chanel zenye maudhui ya kitanzania na hivyo moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha tunaongeza chanel nyingi za nyumbani na sio kutoa chanel. tunajitahidi pia kuongeza chanel zote zilizopo mikoani kama IRINGA TV, moro TV, TANGA TV na zingine nyingi.
kupotea kwa chanel huwa kunasababishwa na kupotea kwa mawimbi na hivyo decoder yako kupoteza chanel husika, kumbuka chanel zetu zinaingia katika frequency 4 hivyo kunauwezekana antena yako haipokei frequency inayozibeba EATV na startv. tunakushauri ufanye automatic search upya.
Bonyeza MENU kisha chagua SYSTEM SETTING kisha chagua CHANEL SEARCH kisha chagua AUTOMATIC SEARCH. lazima chanel hizo zitarudi. endapo hazitarudi basi tambua kuwa antena yako imekuwa 'distarbuded' hivyo inabidi urekebishe na ufanye search upya
Ahsante.
Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitaliMbona wengine tunaiona? We upon wapi labda networking
habari yako UNGA UNGA na wanajamii forum wote kwa ujumla
startimes HATUJAONDOA chanel yeyote katika orodha ya chanel zetu kama unavyodai, chanel zote zipo kama zilivyokuwa awali. Startimes tunatambua kuwa watanzania wanapenda chanel zenye maudhui ya kitanzania na hivyo moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha tunaongeza chanel nyingi za nyumbani na sio kutoa chanel. tunajitahidi pia kuongeza chanel zote zilizopo mikoani kama IRINGA TV, moro TV, TANGA TV na zingine nyingi.
kupotea kwa chanel huwa kunasababishwa na kupotea kwa mawimbi na hivyo decoder yako kupoteza chanel husika, kumbuka chanel zetu zinaingia katika frequency 4 hivyo kunauwezekana antena yako haipokei frequency inayozibeba EATV na startv. tunakushauri ufanye automatic search upya.
Bonyeza MENU kisha chagua SYSTEM SETTING kisha chagua CHANEL SEARCH kisha chagua AUTOMATIC SEARCH. lazima chanel hizo zitarudi. endapo hazitarudi basi tambua kuwa antena yako imekuwa 'distarbuded' hivyo inabidi urekebishe na ufanye search upya
Ahsante.
Customet care yenu mbovu mbovu mbovu...hawapokei cm..aliekua zamu jana.asubuh ameboa sanaaaa..fuatikieni
eatv na star tv ni wiki ya pili sasa hazipo kwnye kingamuzi cha star times.
Hebu acha uongo mi mwenyewe toka juzi EATV, I TV haipo kabisa kwenye list napiga cm mnaniwekea mamiziki cm haipokelewi najuta kununua hili ling'amuzi mmenikera kweli bora mngekuwa wastaarabu mnapokea cm utadhani na angalia bure wapuuzi kweli
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote