Startimes Tanzania na Vodacom vip mnatufanyia hivi?

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Katika matangazo yenu mmetoa namba 0764 700800 ili tupige kwa matatizo mbali mbali.CHA AJABU kila nikipiga nakutana na saut iliyorekodiwa kuwa nisubir ntaunganishwa,inakwena had dakika 2 kisha inakatika na sjaongea na mhudumu lakin hela inakatwa,acheni hizo!
 
Karibu mitandao yote kwa sasa ni matapeli kwani hata mm Airtel wananikata sh. 30 bila maelezo kuwa ni ya nn
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom