Startimes na vingamuzi vyao

Wizi ni wizi haijalishi ni nani unamuibia. Inaonekana mnataka dezo na mnaikosesha serikali mapato. Kwa maelezo yenu (kwa kupenda channel za dini) nyie sio Wakristo wazuri. Acheni hizo, mtubu na mtaokoka!!!

Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??
 
Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??

Kwani ni wizi au ni bug ya hizo tv? itv, star tv na eatv ni chanel za bure haulipii ukiangalia. Bug ilotokea inanifanya nione kwenye king'amuzi changu hapo nimeiba? Na kama nimeiba tell me nimemuibia nani
 
Wakuu kuna hili suala nimelifikiria, so i need msaada wenu kama inawezekana !! Hapa hme nina kingamuzi cha startimes but nataka nifanye sharing.. yaani hichi kingamuzi kiweze kutumika kwenye tvs mbili tofauti at the time..

KWA MFANO KAMA VILE DISHES, UNAWEZA UKANUNUA RECEIVER MBILI, MTU AKAWA ANAWEZA KUBALIDILISHA STATION ANAYOTAKA FOR BOTH SIDES.

SUALI:
je kwa startimes inawezekana kufanya hv? na kama haiwezekani, ni kwa sababu gani?
 
Anaye sema huu ni wizi hajui maana ya wizi.

hapa tunapeana ujuzi namna ya kupata chanel zilizo free kwa kupitia startimes ambao hawajaziweka
 
Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??

UNAJUA MAANA YA WIZ WEWE??? ACHA USHAMBA NA KUKURUPUKIA MAMBO USIYO YAJUA, KWANI WEWE UKIKUTA Tsh10,000 BARABARANI UTAIACHA AU UTAIOKOTA NA KUIPELEKA BOT KISA IMEANDIKWA BANK OF TANZANIA???? HAPA HATUIBI ILA TUNA FANYA FTA CHANNELS ZIONEKANE SASA KUONESHA ITV NI WIZI. KA HUJUI MA UTUNDU SEMA UFUNDISHWE SIO KUONGEAONGEA VI2 USIVYO JUA. Over
 
zaidi hizi channel haziuzi zipo free na hii ni advantage kwa makampuni hayo kwani yatasikiwa watu wengi zaidi including wenye ving'amuzi
 
nina tv ya startimes imejengewa kingamuzi inaweza kuchakachulika? nipo kibaha
 
nina tv ya startimes imejengewa kingamuzi inaweza kuchakachulika? nipo kibaha

Vipi hiyo Tv ina tuner ya aina gani? Ni FS TUNER au ni kama hz za kawaida? Embu soma vizuri Specs zake utujuze. Kuhusu swali lako ni kwamba kama kwa kutumia remote yake unapata Option ya manual search na inaruhusu kuingiza Frequency,definetely inawezekana. Je ukitumia antena ya kawaida unapata local chnls kama DTV,AGAPE,TRENET,C2C,CTN,TUMAINI,nk?
 
...Tunawaonea Wachina tu na Startime yao?? DSTV Imetushinda?? Tunafanye ili kulipa Bundle ya chini kabisa lakini tupate ya juu kabisa inayojumlisha Premier League UK????
 
mie zimeongezeka channel12 ila zinaandika no service isipokuwa atn, zingine no service, niko dodoma nimetumia frequency 530, pia nataka nitoe hako katangazo ka not subscribed kwenye kungfu channel, anayeweza anihelp wadau
 
...Tunawaonea Wachina tu na Startime yao?? DSTV Imetushinda?? Tunafanye ili kulipa Bundle ya chini kabisa lakini tupate ya juu kabisa inayojumlisha Premier League UK????

Tafuta Avatar Dongle decoder ndo kiboko ya DSTV...
 
Back
Top Bottom