Startimes na vingamuzi vyao

ndiyo mkuu inawezekana hata hapa jamvini kuna thread niliwahi ianzisha kuna mdau akadai inawezekana na alitoa some tricks nilipo mtafuta kwa PM akazamia moja kwa moja akizani kuwa mim ni mkuda wa star times.

So wewe unajua kuhusiana na hiyo trick hata kidogo? na je hiyo thread ilitoa maujanja hata kidogo jamavini ama jamaa ali fanya hizo tricks kwa njia za PM?
 
labda new post iwekwe iwe na title ya jinsi ya kuchakachua startimes vingamuzi, may be muhusika anayejua anaweza kutupa maujanja!! What do u think guys?
 
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz

nimeona kuna groups pia ndani ya jf nadhani ni option nyingine ambayo ni rahisi kutumika
 
jamani ebu nitoeni ushamba kidogo mnachakachuaje hicho kingamuzi cha star time cos mie ninacho na nina lipia kawaida 2 so ebu nipeni ujuzi wataaalamu

Mkuu naweza kuelewa ni kwa nini unataka upewe ujuzi wa uchakachuaji, swali ni: kwa nini tutake vitu vya bure kwa kuwakoshesha mapato Wachina wa watu ambao wamejitolea sana - na tarrif zao ni affordable, mimi nilikuwa napendekeza kuliko kuchakachua ni afadhali twende tuwabembeleze Wachina wapunguze gharama zao hili kila mtu aone aibu ya kuwaibia Wachina.
 
ndiyo mkuu arusha wana frequency tofauti kama utakuwa umepitia coment zote za thread hii nauhakika ungekuwa ushapata jibu.
Maana nishawahi zitaja na wadau walitoa feedback kuwa wamefanikiwa.
Mim mwenyewe nimechakachua na inaonyesha fresh kbs
mkuu n pm hiz namba
 
Wizi ni wizi haijalishi ni nani unamuibia. Inaonekana mnataka dezo na mnaikosesha serikali mapato. Kwa maelezo yenu (kwa kupenda channel za dini) nyie sio Wakristo wazuri. Acheni hizo, mtubu na mtaokoka!!!
 
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz

Sasa hizo emails c itakua kibarua utajibu ngapi na uache ngapi?
 
Uchakachuaji wao wenyewe wanafanya i mean startimes staff mfano jana nimenunua king'.muzi ...... yule afande kanichelewesha wee baadae akaniambia unaweza kuangalia na Chanel 2 za Bongo yaani Startv na Itv akataka nimpe BUKU KUMI akanipunguzia hadi buku 5, da bila ya kujua kumbe huku masela freguency no wanazo vichwani jamaa kaningizia na east afrika free kabisa.ILA SASA YEYE KWAKE ZIMEGOMA HAZITAKI inakubali East Afrika ila sauti hakuna
 
jamani kuna code mpya za kuchakachua? Jana kuna jamaa amenunua startimes akachakachuliwa na staf kwa 15000.
Mi kila nkijaribu naambiwa no chanel found
 
jamani kuna code mpya za kuchakachua? Jana kuna jamaa amenunua startimes akachakachuliwa na staf kwa 15000.
Mi kila nkijaribu naambiwa no chanel found

Hakuna namba zaid ya tatu unazotakiwa kuingiza ama wewe unaingizaje hizo?
 
jamani kuna code mpya za kuchakachua? Jana kuna jamaa amenunua startimes akachakachuliwa na staf kwa 15000.
Mi kila nkijaribu naambiwa no chanel found

kumbe ulikua unamaanisha 15,000 tshs,ebu ni pm hizo number na mim,inawezekana inagoma kwako kutokana na toleo la king'amuz kuna cha zaman na cha sasa!
 
Wizi ni wizi haijalishi ni nani unamuibia. Inaonekana mnataka dezo na mnaikosesha serikali mapato. Kwa maelezo yenu (kwa kupenda channel za dini) nyie sio Wakristo wazuri. Acheni hizo, mtubu na mtaokoka!!!

Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??
 
Back
Top Bottom