Startimes na vingamuzi vyao

jamani mi nimejaribu channel zote inanambia 0 channel received,labda wamebadili tupeni nyingine

wewe upo wapi mkuu usije ukajaribu hizo zilizoandikwa hapo ni za sehem tofauti.Na frequency zinatofautiana na sehem uliopo (mkoa).
 
Wakuu tunashukuru kwa utaalamu wenu.
Mimi nimejaribu nimepata atn.atn-2,tbc-1,sentana africa,aljezira,tbn,smile of child,love world,chanel ten. lakini inayoonyesha ni atn tu tena inaingiliana sauti na radio.
Vipi kuna aliyejaribu akapata itv, eatv, capital, dtv,
Ukitaka kuondoa channel zinazoingiliana na radio bonyeza kitufe cha track kwenye remote then kwenye audio track select left or right
 
wewe upo wapi mkuu usije ukajaribu hizo zilizoandikwa hapo ni za sehem tofauti.Na frequency zinatofautiana na sehem uliopo (mkoa).

aisee mi nipo arusha,vipi arusha wanacode yao tofauti na 530?
 
labda ni zile za mwanzo
"Usihuzunishwe na maamuzi mabaya uliyoyafanya anza kuyashinda kwa mapya.".................Kuna binadamu wengine wanatembea na laana.kazi kuharibu maisha ya watt wa watu halafu anatoa statement kama hizi.kweli jamani??????????huwa najiuliza sana sipati jibu.kumbe ukimuona mwanaume amevaa suruali ukadhani ni mwanaume aah wapi kumbe ni suruali tu yeye hana uanaume wowote.na malipo yako ni hapahapa duniani kama ambavyo umeanza kuyapitia.ipo siku utashuhudia kwa macho yako fidia ya maovu yako ambayo hayana kipimo.uovu una mwisho.yuko wapi ghadafi aliyetamba na kuogopwa????uovu una mwisho.hutaendelea kutesa watt wa watu tena.upo mwisho wako na hauko mbali.utakumbuka maneno yangu.
 
aisee mi nipo arusha,vipi arusha wanacode yao tofauti na 530?

ndiyo mkuu arusha wana frequency tofauti kama utakuwa umepitia coment zote za thread hii nauhakika ungekuwa ushapata jibu.
Maana nishawahi zitaja na wadau walitoa feedback kuwa wamefanikiwa.
Mim mwenyewe nimechakachua na inaonyesha fresh kbs
 
"usihuzunishwe na maamuzi mabaya uliyoyafanya anza kuyashinda kwa mapya.".................kuna binadamu wengine wanatembea na laana.kazi kuharibu maisha ya watt wa watu halafu anatoa statement kama hizi.kweli jamani??????????huwa najiuliza sana sipati jibu.kumbe ukimuona mwanaume amevaa suruali ukadhani ni mwanaume aah wapi kumbe ni suruali tu yeye hana uanaume wowote.na malipo yako ni hapahapa duniani kama ambavyo umeanza kuyapitia.ipo siku utashuhudia kwa macho yako fidia ya maovu yako ambayo hayana kipimo.uovu una mwisho.yuko wapi ghadafi aliyetamba na kuogopwa????uovu una mwisho.hutaendelea kutesa watt wa watu tena.upo mwisho wako na hauko mbali.utakumbuka maneno yangu.

nahisi kama umepotea njia au umedandia gari bila kujua uendako, plz msaada kwenye tuta mshusheni huyu kapotea njia jaman???
 
aisee mi nipo arusha,vipi arusha wanacode yao tofauti na 530?

ndiyo mkuu arusha wana frequency tofauti kama utakuwa umepitia coment zote za thread hii nauhakika ungekuwa ushapata jibu.
Maana nishawahi zitaja na wadau walitoa feedback kuwa wamefanikiwa.
Mim mwenyewe nimechakachua na inaonyesha fresh kbs
 
Hah mimi napata Emanuel Tv,Family TV na nyingi tu za dini ,ATN 1 &2 ,station nyingi ni za dini je nikitaka za movie au makala(documentaries
)tuchakachue mawimbi( frequency) yapi,lazima tuwachakachue wachina kwa vile nao wanatuchakachua kwa saaana ,kuchakachua huku ni sawa tu na tone la maji kwenye bahari
 
huku napata ITV na STAR TV,Atn inapatikana sauti tu,, picha ahionekani!! nimetumia frequency hizo hzio 570 na 530 lakini Antenna natumia ya kwao wenyewe Star times. nimenunua Antenna elfu kumi na saba!!
 
Nasikia kuna mshikaji k/koo anafanya mandingo inakuwa free and unapata stations zote!! I wonder kama hili ni kweli au lah, i mean ni uongo!! JE kuna mtu aliyesikia hilo suala?
 
Nasikia kuna mshikaji k/koo anafanya mandingo inakuwa free and unapata stations zote!! I wonder kama hili ni kweli au lah, i mean ni uongo!! JE kuna mtu aliyesikia hilo suala?

ndiyo mkuu inawezekana hata hapa jamvini kuna thread niliwahi ianzisha kuna mdau akadai inawezekana na alitoa some tricks nilipo mtafuta kwa PM akazamia moja kwa moja akizani kuwa mim ni mkuda wa star times.
 
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Mi kunajamaa kaniambia kua mtaani kwao kwenye vibanda umiza(vle vnavyo onyesha mpira lig za uingeraza),jamaa kapiga mandingo eti anapata superspot channel kama 3 kwakupitia startimes,bt kila akimuomba amwelekeze jamaa anarusha,je wakuu kuna ukwel ama uwezekano juu ya hili?
 
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz

mkuuu unayafahamu hayo maujanja ama Tukupm? Ama umeeka email yako incase issue ikitokea upewe taarifa?
 
Back
Top Bottom