Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,133
- 16,199
Wakuu huu uchakachuaji mbona umeisha kimya kimya?, Wenye info tupeni data zaidi yani hakuna code ina-work.
hili jukwaa vp lilitakiwa liwe through pm kwani watawanyima access kwani nao wako humu jf
kama signal status ni over 65% ukitumia 666 utapata free channel bila error pia unaweza kuondoa hiyo error kwa ku double click subtitle button ya remote yako,rimote ya zamani lakin decoder ya kisasa,mimi napata local zote star,capital dtv mliman eatv itv atn... hope press bbc dw etc over 66 chanell sema usiclick chanel yenye $ kwani utasababisha system restore
Wajameni na Arusha tuchakachue vipi?
Msaada kwa sisi wa mikoani please kama kuna maujanja. kama Arusha na Moshi
Kwa wale wa ARUSHA jaribun hizi hapa 514
,515,
516..Mi nimeingiza imekubali nipo arusha maeneo ya lemara zilizoingia ni atn.atn-2,tbc-1,sentana africa,aljezira,ewtn,tbn,smile of child,hope,love world,chanel ten.
lakin sasa kati ya zote hizo inayoonyesha ni atn peke yake atn-2 ukiweka inasikika sauti tuu.na hizo zingine ukiweka hazionyeshi zaidi yanatokea maandish yameandikwa Non-Conax program kwa hili ninaomba msaada wenu wa kuu mliofanikiwa kuchakachua ili niweze kutoa maneno hayo na lingine channel kalibia zote kasoro tbc ,na atn hazina alama hii $.je alama hiyo inamana gani na nitaitoaje? kwan ipo hata kwenye chanel ambazo hazija chakachuliwa.
nimefanikiwa lakini ATN pekee ndo inashika,lakini sasa hata TBC1 haishiki tena! msaada zaidi unahitajika wakubwa.
na mikoani inakubali au yangu ni kimeo? niko mwanza, ila nimeinunua december mwaka jana cdhani km ndio zile za fifa
ok njia rahisi ya kunasa frequency do auto search but kuwa makini na angalia toka inapo anza kuna mahali itaganda kdg na pia utaona signal inanasa apo. Just kariri iyo namba then rud katika manual search and try each n.o ulizoziona zilizostuk kwa sekunde kadhaa na ikashka signal ulivo kuwa una fanya autosearch! Ukiwa makini utaziona tu.
ok njia rahisi ya kunasa frequency do auto search but kuwa makini na angalia toka inapo anza kuna mahali itaganda kdg na pia utaona signal inanasa apo. Just kariri iyo namba then rud katika manual search and try each n.o ulizoziona zilizostuk kwa sekunde kadhaa na ikashka signal ulivo kuwa una fanya autosearch! Ukiwa makini utaziona tu.
Wakuu tunashukuru kwa utaalamu wenu.kama unataka njia rahisi hapo mkuu ya kuzinasa hizo frequency unazo sema wakati una auto serch kuna njia mbili kwanza ni kujumlisha nane nane kuanzia utakapo weka manual search kingamuzi utaona kimeandika some frequency chukua hizo na jumlisha 8 .8.
Njia ya 2 weka chanel yoyote ile halafu ikiwa inaonyesha bonya kitufe (F3) nyuma ya kitufe cha setting itaonyesha kama page hv yenye rangi ya blue bahari na mwanzoni kabisa utaona wameandika frequency inote na kisha badili badili chanel mpaka utapata frequency tofautitofauti kam 3 hv.
Hizo ndiyo utakuwa mwongozo wako kama utakuwa unaingiza zinagoma jaribu kuchukua namba za chin yake au juu yake..
Hapo lazima utaotea namba itakayo kubali .
jamani mi nimejaribu channel zote inanambia 0 channel received,labda wamebadili tupeni nyingine