Startimes na vingamuzi vyao

na mikoani inakubali au yangu ni kimeo? niko mwanza, ila nimeinunua december mwaka jana cdhani km ndio zile za fifa
 
zile za mwanzo naona kama zinagoma nilijaribu kwa 530 ebu ngoja nijaribu na hizi 570

Wajameni mimi nilinunua kabla ya kombe la dunia imekubali kwenye friquence ya 778 na zimeongezeka channel 7 zikiwemo aljazeera,MTV(Asia),channel V,CCTV4 na nyinginezo.Tunawashukuru sana wana jamvini kwa maujanja yenu.
 
safi sana mkuu kwa mrejesho mi kwangu imekubali 530 na 570 tu zingine zimegoma kabisa
 
Hii thread sikujua kama ina mambo mazuri hivi... Wakuu mnanishauri ninunue king'amuzi kipi cha startime au TING?
 
wadau naona zile za mwanzo zinagoma ngoja nimtafute end user nimuuzie hii yangu nikanunue hizi mpya
 
Samahani wakuu, hizi decoder za TING zinapatikana wapi kwa hapa Dar na zinauzwa bei gani, n.k.?
 
Hii thread sikujua kama ina mambo mazuri hivi... Wakuu mnanishauri ninunue king'amuzi kipi cha startime au TING?

cha ting wanakisifia kzuri kwamba kina option nyingi ata kwa net na pc ila kwa ss za startme ndio 2mechakachua ngoja wenye ting wa2pe mrejesho nao
 
hili jukwaa vp lilitakiwa liwe through pm kwani watawanyima access kwani nao wako humu jf
kama signal status ni over 65% ukitumia 666 utapata free channel bila error pia unaweza kuondoa hiyo error kwa ku double click subtitle button ya remote yako,rimote ya zamani lakin decoder ya kisasa,mimi napata local zote star,capital dtv mliman eatv itv atn... hope press bbc dw etc over 66 chanell sema usiclick chanel yenye $ kwani utasababisha system restore
 
Ok.. Kwa hiyo cha TING akichakachuliki? Nitanunua cha Startime ili ni kichakachue..

Asante kwa maoni yako.
 
karibu kama ni mpenzi wa tb joshua wa emanuel tv utapata kwa 530 hii inachane 12
 
hili jukwaa vp lilitakiwa liwe through pm kwani watawanyima access kwani nao wako humu jf
kama signal status ni over 65% ukitumia 666 utapata free channel bila error pia unaweza kuondoa hiyo error kwa ku double click subtitle button ya remote yako,rimote ya zamani lakin decoder ya kisasa,mimi napata local zote star,capital dtv mliman eatv itv atn... hope press bbc dw etc over 66 chanell sema usiclick chanel yenye $ kwani utasababisha system restore

karibia chanel zote zina alama hyo ila cjawai kupata mlimani na capital itv, chanel10 atn nazingine unasema ile erro ya nonprogram ndio naitoa kwa rimoti ya zamani
 
thanks kwa taarifa hii nzuri, ngoja nikachakachue maana ilikuwa inanibore kwa kutokuwa na channel nyingi za kibongo
 
Back
Top Bottom