drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 281
kwa wale tuliochakachua vingamuzi vya startimes naona wamestuka hawa jamaa tangu lastweek ukifungua zile channel zetu inatoa icon ya warning NON COMAX PROGRAM alafu akitoki kinakaa katikati ya tv tangu jana nimefungua azionyeshi chochote kile tena mimi nawashangaa kwa nini wasiziongeze official kabisa kwanini watubanie wakati ipo free on air tu nimeshindwa kuwaelewa kabisa