JamboJema
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,143
- 209
StarTimes my foot! Hawa jamaa hawafai....channel zenyewe wakatimwingine zinapotea tu.....wala hazina mvuto. Mie naendelea na dish langu hadi hapo 31.Dec. ndo nijue cha kufanya. Kwa sasa siwahitaji kabisa! Ujuzi wa 'kuwachakachua' sina, ila kama watu siku hizi wanasurf net bure kupitia modem, ije kuwa king'amuzi tu! Najua watakudadavulia.