Start tv,tbc,redio uhuru vyatumika kuibeba ccm mwanza,wananchi kuleni,kunyweni hizo ni kodi zenu !

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Star TV.TBC,REDIO UHURU,

vyombo hivi vinatumika kuibeba ccm mwanza !!!!!!!!!!!

wananchi kunyweni,kuleni maana hizo ni kodi zenu

ila mapambano bado yanaendelea !!!!!!!!!!
 
Kuna sababu gani ya vyombo hivi vya habari kutoshiriki katika maadhimisho haya? Tambua vyombo hivi ni huru na pia vipo kibiashara.

Tushirikishe akili kabla ya kutamka badala ya kutanguliza "gubu la wifi".
 
Siku zote unapost upupu
 
Kuna sababu gani ya vyombo hivi vya habari kutoshiriki katika maadhimisho haya? Tambua vyombo hivi ni huru na pia vipo kibiashara.

Tushirikishe akili kabla ya kutamka badala ya kutanguliza "gubu la wifi".

acha nyege ! fikiria kwanza
 
Kama wamelipwa haina shida......airtime yao inalipiwa kibiashara zaidi ila kama wamewatishia na kuomba free airtime hapo ndio mbaya sana!!!tutapenda kujua gharama za sherehe za mwaka huu!!!
 
Star TV.TBC,REDIO UHURU,

vyombo hivi vinatumika kuibeba ccm mwanza !!!!!!!!!!!

wananchi kunyweni,kuleni maana hizo ni kodi zenu

ila mapambano bado yanaendelea !!!!!!!!!!

Wajinga wengi sana
 
Hawa watu kweli wanatumia vibaya pesa yetu ila kwa taarifa mimi nipo Mwanza na wananchi hasa vijana wenyewe wameenda KIRUMBA kwa nia moja tu kula pesa ambayo wenyewe wanaamini ni kodi yao ndo wanakwenda kuitumia na si pesa ya CCM wana mwanza wanasema leo wamemka wakiwa kirumba ila maisha yapo CDM ambako kwenyewe wanaendaga kwa gharama zao na si kwa kusombwa na Ma-FUSO kama inavyofanyika hapa Mwanza tangu jana,Pili wanaamini kuwa wadau wote waliojitolea ku-support sherehe hizi kama mzee wa Nyanza bottle LTD ni moja ya wakwepa kodi so wamesema leo wanakwenda kutumia pesa zao zilizo ibiwa na mafisadi.
Afu utashangaa kadi zitazo rudishwa leo ni za CDM tu kama kwamba vyama vingine havina wanachama mkoani mwanza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom