Start button ya pc imepotea

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Habari wana technologia,
nina pc yangu aina ya ibm,nlikuwa natumia jana gafla ile batan ya start ikapotea nika restart lakini imekuwa vile vile:
N:b nili install avg antvirus ikasababisha comp kuwa slow nikaamua kuindoa baada ya hapo ndo matatizo yaka anza.
Inafanya kazi sema hizo batan hazionekani mpaka ni tumie short cut
ie ctrl+alt+del ndo naweza kwenda kwa system menu,pia nimejaribu
ku customize desktop na kutumia control panel customize taskbar and start menu lakini start menu haifunguki ili nibadili setting.
Naombeni mnipe maujanja nifanyeje
ctrl+esc hairespond
window batan hai respond
 
Taskbar ipo na desktop icons zipo?--kama hazipo pia, basi mkuu inakubidi uende katka computer ilio "okay" nenda kATIKA C:\WINDOWS na tafuat file explorer.exe then replace la kwako kwa hilo,kama bado so repair your system, may be it effected by viruses" and AVG amekula hilo file.
 
taskbar ipo na desktop icons zipo?--kama hazipo pia, basi mkuu inakubidi uende katka computer ilio "okay" nenda katika c:\windows na tafuat file explorer.exe then replace la kwako kwa hilo,kama bado so repair your system, may be it effected by viruses" and avg amekula hilo file.

hamna icon yoyote mkuu
 
SO FANYA HIVYO--ILI KUTHIBITISHA KUA TATIZO NI DESKTOP YAKO IMEKUFA (explorer.exe file), piga ctrl+alt+delete then "new task" na type explorer.exe mambo yanaweza kua sawa.
 
SO FANYA HIVYO--ILI KUTHIBITISHA KUA TATIZO NI DESKTOP YAKO IMEKUFA (explorer.exe file), piga ctrl+alt+delete then "new task" na type explorer.exe mambo yanaweza kua sawa.

sawa mkuu ntapata jibu au itakuwa ina help topic zitakazo nisaidia maana mimi si mtaalamu wa computer mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom