Stars vs Moroco in JF

mechi kama hii ngasa ni lazima acheze, yani mpira hata haukai mbele, ni upande mmoja tu, wachezaji yani hawaonyeshi hata dalili kama wanataka kushinda, dah nimejipa moyo bure na uzalendo wangu,bora ya nyie mliokubali hali mapema wala hamna tabu sasa
 
Mchezaji hapo ni Juma kaseja tu na namuonea huruma leo Taifa stars lazima tuuweke mpira tucheze taratibu na kufunguwa vyumba. na hii game Ikitoka DVD waoneshwe ili na wao Taifa stars wajifunze wasiionee Aibu wajifunze kwa hili.
 
Afadhali hata ile timu ya wale wasichana wa stars walikuwa wanapiga gonga sio kama hawa wazururaji! na hamu imeshanitoka
 
Back
Top Bottom