Stars/Msumbiji Live update!

Watanzania nilikuwa naongea na jo paulsen hapa amenituma niwambie kuwa atajiuzuru baada ya mchezo huu
 
hali ya kipindi cha kwanza ilikuwaje wadau, au kama kawaida yetu ni kubutua tu mpaka mpira uingie wenyewe golini...
 
hali ya kipindi cha kwanza ilikuwaje wadau, au kama kawaida yetu ni kubutua tu mpaka mpira uingie wenyewe golini...

Kwa upande wangu, mpira ulikuwa na changamoto nyingi kwa taifa starz, but its ma hope kipindi cha pili 2tarekebisha mapungufu. Star tv & Tbc 1 wanarusha.
 
hali ya kipindi cha kwanza ilikuwaje wadau, au kama kawaida yetu ni kubutua tu mpaka mpira uingie wenyewe golini...

taifa star hawana pumzi. wamechezewa ile inayo itwa hangaisha dog. na hilo goli ni juhudi binafsi za vicent ambaye kampa pasi nzuri kazi moto akafunga. hawatii matumaini wala hawachezi mpira wa kutafuta magoli/ushindi. wote wapo nyuma mbele wamemuacha john boko. si unajua mpira wake? wakimpa pasi mara aanguka au wanamnyanganya. wanaboa but ndo timu yetu.
 
Goli la Staz la kusawazisha lilikuwa tamu sana, shuti kali la kiufundi kipa hakuwa na la kufanya.

Big up Staz, Ngasa anaingia kipindi cha pili, tutegemee chenga nyingi na magoli zaidi.
 
hali ya kipindi cha kwanza ilikuwaje wadau, au kama kawaida yetu ni kubutua tu mpaka mpira uingie wenyewe golini...

Msumbiji walitawala kwa kiwango kikubwa. Ingawa katika dakika 5 za mwisho,Tanzania walicheza vizuri kiasi na kuweza kusawazisha goli.

Mfumo wa kumwacha mshambuliaji mmoja mbele ni kikwazo kwa ushindi wa Tanzania. Kwa John Boko hawezi kucheza peke yake,bila ya kuwa na mtu wa kumchezesha.

Kocha anapaswa kutumia wings zote kwa kuingiza wachezaji watakaoweza kukimbiza mabeki wa pembeni wa Msumbiji.
 
ahahahahaha.......mkuu inaonekana upo serious!

Mi yo yo kaniboa na siye yeye 2 hata baadhi ya watu pamoja na watangazaji yani full kukana timu yao, jamani hata kama wanaboronga 2wape support, nimekaa na watu hapa yani kama c watz wakishika 2 the mambaz wanashangilia akishika mpira boko wanazomea. Hv c c ni watz au! Watz mmeniboa
 
barbas vicent anakosa goli la wazi baada ya kipa kutema mpira.
 
Tunachekesha sana tunapomlaumu Poulsen.Wengine 'Oh,bora Maximo...alitufikisha wapi?Wengine walilia wapewe wazawa(tuliposema hilo sio suluhisho,tukaitwa 'sio wazalendo!).Tutakubali kuwa shida si kocha bali ni ubovu wa sera yetu ya michezo(kama kweli sera ipo!).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom