Starehe 3 kuu...

Kila mtu ana vitu anavyopenda, list your top three starehe. 1 means unaipenda zaidi , mfano are;
1. Kudinyana
2. Kutaga
3. Kulala
Mkuu katika top 3 starehe ni kudinyana, kama haupo hapo basi kaulabu katakuteka na ukikosekana hapo basi spots lazima ikuzoe. Kulala siyo starehe kwa sababu kila mtu ni lazima alale. Maana ya starehe ni kile kitu ambacho mtu kwa hiari yake anakipenda kukifanya ili kuiridhisha nafsi yake. Uchaguzi wa maridhisho ya nafsi unatofutiana baina ya mtu na mtu na hapo ndipo kila mtu anapokuwa na starehe yake.
 
Kwa hiyo magroup ni kama matatu, michezo, unywaji na kale kaasili ketu tulikoumbiwa mapenzi siyo?

Dahhhh
Hizo top two umezipatia..
Hiyo ya yatu na hisi ni sehemu ya zoezi pia
.. .. .. .. kwa hiyo umeelezea kama ilivyo..
Uchambuzi mzuri ntakuongezea + kwenye ile B
Yako.... :)
 
Back
Top Bottom