Stara Thomas!

amechukue na mumewe maana bado ni hasara akimuacha tcc club chang'ombe akila maisha na viche**** vijana kwa wazee ni hasara mbinguni na ktk mfuko wa stara pia. Bwana ampe nguvu amvute na mumewe!!!
Bwana alisema atakuokoa wewe pamoja na nyumba yako.
Hivyo wakati wa bawana ukifika na mme wake ataokolewa pia
 
hakuna jipya wapo wenzake wengi wamenena hilo na wanaendelea... Uchafu wao ngoja tuone.
wewe huna sauti ya kumkataza mwenzako kufanya kile anachokitaka.
wala huna hukumu yeyote kwa mwenzako, mwachie Mungu ndiye mwenye hukumu.
je wewe ni msafi kiasi gani?
 
mjukuu acha kejeli,
Mtu ni maamuzi yake
hivi unajua Yesu alikuja kwa ajiri ya akina nani? kama wewe ni mwema au mtakatifu basi Yesu hakuja kwa ajiri yako.
Alikuja kwa ajiri ya wezi,wanyanganyi,wachawi,walevi,wazinzi,waasherati ,wafisadi na wenye tabia kama za hivyo
sasa wewe kama unaanza kumnyooshea mwenzako basi kwanza jiangalie wewe mwenyewe .
Kama unamlaumu huyu dada basi unamlaumu Yesu na Aliyemleta Mungu.

Kwamba huyu Yesu ambaye mimi namwamini sana yupo makanisa fulani tu?, na hivyo ukimtaka inabidi uhame kanisa!? Je ndivyo Yesu Kristo alivyofundisha?

Hayo ndio mafundisho yanayoendelea katika haya makanisa ya kisasa kuwa eti Yesu yupo kwenye hayo makanisa yao na kuwashawishi watu wahame makanisa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom