Stara Thomas!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
starat.jpg

Aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva Stara Thomas sasa amempa Bwana Yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama Sikia, Sitorudi nyuma, my body na Chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie alioshirikishwa na AT.
“Nilipata wito kutoka kwa Yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha” alisikika akisema Stara
Awali alikua akiabudu dhehebu la Jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la Shalom lililoko Mbezi Salasala! Karibu kwa Bwana Yesu Stara!

Source: Stara Thomas ameokoka! « Strictly Gospel
 
kaacha bangi au anazuga

mboni binaadam mu wabishi na wapinzani katika kila suala au jambo?? Hii sio siasa jamani, ni imani ya mtu aliyeamua kumkabidhi muumba wake maisha yake, wewe unaleta masihara... Ole wako!!!
 
starat.jpg

Aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva Stara Thomas sasa amempa Bwana Yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama Sikia, Sitorudi nyuma, my body na Chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie alioshirikishwa na AT.
“Nilipata wito kutoka kwa Yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha” alisikika akisema Stara
Awali alikua akiabudu dhehebu la Jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la Shalom lililoko Mbezi Salasala! Karibu kwa Bwana Yesu Stara!

Source: Stara Thomas ameokoka! « Strictly Gospel

usirudi nyuma dada stara ila tambua kwamba kuna vishawishi sana unapokuwa katika kumuabudu mungu, kaza buti na imarisha imani yako, maana tunao wasanii wengi ambao wamejitangaza kuwa wameokoka ila matendo yao hayalingani na dhamira zao, tutakutambua kama umeokoka kwa matendo yako na sio kauli yako
 
Amefanya jambo la maana kufanya uamuzi huo, maana na umbo lake inavyoonekana katika sekta binafsi kama ya bongo flava lisingempa ushindani sana.... Hongera sana dada yangu
 
starat.jpg

aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva stara thomas sasa amempa bwana yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama sikia, sitorudi nyuma, my body na chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie alioshirikishwa na at.
"nilipata wito kutoka kwa yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha" alisikika akisema stara
awali alikua akiabudu dhehebu la jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la shalom lililoko mbezi salasala! Karibu kwa bwana yesu stara!

source: stara thomas ameokoka! « strictly gospel
amen
 
Huyu Bi-Dada nilimu-watch jana EATV akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha "Wanawake Live".. Nilikuwa shocked na majibu aliyoyatoa kuhusu "Mabomu ya Gongo La Mboto"!

Mtangazaji: Unaongeleaje kuhusu matatizo ya G'Mboto?

Stara: Matatizo mengine ni ya kujitakia... Mume anapojenga nyumba hakikisha umshauri asijenge karibia na Kambi za jeshi... Nasikia wengine waliambiwa lakini wakawa wabishi...Blah Blah...

!
!

She was sounding like "Debe Tupu..."
 
Kama alitamka hivyo mungu amsamehe, kwani sisi binadamu hatuwezi kumuelewa!!!! hajui alitendalo na hajui anafanyanini.. maybe ni miaka saba ya bhanghi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom