Star tv wanarusha kipindi kuwahadaa wananchi juu ya kugoma kwa gamba

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Kipindi kimejaa makada wa CCM tu. Wanajaribu ku-justify dhana nzima ya kushindwa kujivua gamba. Ni aibu kuu kwa Yahya na star tv
 
Mimi sijakiangalia. Lakini ninachojua ni kwamba kipindi kikiendeshwa na Yahya m basi siku hiyo kipindi ni kibovu usipime. Huyu jamaa hajui maana ya mijadala huru hata kidogo. Anataka kusikia alichokipanga mwenyewe kichwani mwake.
 
Back
Top Bottom