Star TV LIVE: Mapitio ya Mjadala wa Bajeti

Le Mutuz, Mnyika hakupewa muda wa kufafanua kwanini alitoa kauli ile, wewe unawezaje kumhukumu kuwa alikosea sana?

Nakushauri acha ushabiki wako kwa CCM. Chambua hoja bila upendeleo. Kama rais ni tatizo kwa nini watu wasiseme?

Le mutuz nae ni walewale tu,
hana lolote zaidi ya kuchanganya kingereza na kiswahili.
 
Nimeuliza toka mwanzo kwani mjadala ni bajeti au JJ Mnyika?Yahya M'med akanijibu ni Bajeti...lakini Star Tv kwa makusudi wamegeuza kumjadili Mnyika...tena Baruani ndo anajipa mamlaka ya kuhukumu!ivi hawakusikia dharau za Mwigulu?matusi na upuuz wa kuitupa bajeti ya upinzani?
Hawana lolote zaidi ya kujipendekeza kwa MR. DHAIFU.
 
Kiti cha spika kimeteteleka sana. Mwigulu nchemba na lusinde waliwa watukana chadema wala haikuonekana nikosa.

Lakini mnyika alivyosema ukweli wala spika hakumpa nafasi ya kumalizia kauli yake ambayo ilikuwa wazi kabisa.

Ccm wapo bungeni kutete chama wala si wananchi, mtu ana simama na kusema anaunga budget asilimia mia, alaf akianza kuchangia ana ikosoa budget tena sana.

Mimi nafikiri wabunge wanatakiwa kuweka itikadi za chama pembeni na kuangalia wananchi.
 
wanao takiwa kuacha tabia ya MIPASHO ni wabunge wa ccm na Si CDM coz wabunge wa ccm wanajadili watu, wanabeza,wanatukana, wanatumia vibaya uwingi wao, wanaacha kujadili hoja wanajadili watu Binafsi wakati CDM wanaelekeza ,wanashauri, wanapendekeza na kukemea Utendanji wa serikali ya ccm. na wbunge wa ccm wamegeuka mawaziri wa kujibu hoja za Wabunge wa CDM ambazo ndo Matakwa ya umma.
Nilichokiona mimi ni baadhi ya wabunge wa CCM kutumiwa na chama kuwa provocative kwa wabunge wa upinzani ili wabunge wa upinzani wakijibu Mapigo kuonekane hakuna tofauti kati ya CCM na Upinzani. CCM tunajua walishapoteza heshima ndani ya jamii wanachokifanya ni kuwaudhi wapinzani ili nao wapoteze hiyo heshima.

Wabunge kama Lusinde au Mwigulu tunajua ni wabunge walio na septic mouth ambao siku zote wakiongea tunategemea watatukana tu. Wabunge wa chadema kwepeni mtego wa akina Mwigulu, tunawategemea onyesheni tofauti.
 
huyu william kweli anatafuta umaarufu,pamoja na kuishi nje ya nchi still ana itikadi za enzi zile?i wonder nilifikiri yy ndo atatupa mfano mzuri wa hayo aliyojifunza huko!..yaan kibamba anaongea point kuliko huyo william,ama kweli elim si kigezo!
 
Hivi hii serikali itaacha lini kutegemea pombe na sigara ktk budget ya nchi hii angali rasilimali tunazo kibao ikiwemo madini gase na vivutio kibao kwanini tusitegemee hizo rasilimali? Kuna nini kilichojificha nyuma yake?
 
Nimeuliza toka mwanzo kwani mjadala ni bajeti au JJ Mnyika?Yahya M'med akanijibu ni Bajeti...lakini Star Tv kwa makusudi wamegeuza kumjadili Mnyika...tena Baruani ndo anajipa mamlaka ya kuhukumu!ivi hawakusikia dharau za Mwigulu?matusi na upuuz wa kuitupa bajeti ya upinzani?

...yaani baruani,ndo umeshusha heshima yake!coz naona swala mnyika umelishikia bango badala ya kujadli hyo bajeti!naona nayy magamba wanamumeza
 
Amedai endapo Muuungano utavunjika watakaothirika ni Wazanzibar kwa sababu wamejenga *na wamefanya biashara sana Tanganyika.
HILI UMEPOTEA.
Watanganyika wengi wamewekeza ktk mahoteli makubwa zanzibar. ukianza NUNGWI Hadi Uroa utakuta mahoeli ya kitalii ya watanganyika.
Pia watanganyika wengi wamewekeza Zanzibar. wengi wamejenga majumba ya kifahari huko mbweni. Mazizini, Mombasa , Machui na sehemu nyengine.
lkn pia wamewekeza katika makanisa ambayo kwa sasa yamekuwa yakiongezeka kwa kasi licha ya kukosa wanaobudu.
Kwa mtazamo wa haraka, watakaothirika zaidi ni WATANGANYIKA*
 
Wazanzibari wanaotaka muungano uvunjike wanataka tuseme hawataathirika na kuvunjika kwa muungano! Hofu yako ni Makanisa kuongezeka kumbe? Hivi imaniyako unashikiwa na mtu mwingine? Huo uislam unaokupa Dhambi ya ubaguzi na Ubinafsi usio mithilika na Ndio maana Kupitia UAMSHO mliamua kuchoma makanisa kwakua yanaongezeka? Hio dhambi itawatafuna kizazi chenu chote
 
mzee hata ubaguzi uanfanyika tanganyijka. nyerere kasomesha wakiristo sasa hivi ndugu zetu wanakufa kwa mgomo wa madaktari waisllam wangaliwezeshwa haya yasingetokea maana wanauchunghu na nchi yao
 
mzee hata ubaguzi uanfanyika tanganyijka. nyerere kasomesha wakiristo sasa hivi ndugu zetu wanakufa kwa mgomo wa madaktari waisllam wangaliwezeshwa haya yasingetokea maana wanauchunghu na nchi yao

Mbona huwalaumu waarabu waliokujengeeni tu misikiti na madrasa nyingi katika kipindi cha zaidi ya miaka 800 waliyokuwa wakiwatawala kwenye pwani yenu, mnakuja kulalamikia kunyimwa elimu na shule zilizojengwa na wakristo?
 
Muungano hauvunjiki ng'o na Mzazibar yeyote atayeleta vurugu au attempt za kuuvunja muungano tutamshughulikia. Hata hao uamusho mnaowatumia hawataweza kufua dafu. Kusema kweli wananufaika zaidi na muungano ni Wazanzibar na haohao ndo wamejaa Tanganyika wakifanya biashara mbalimbali na wengine wakisoma kwenye vyuo vikuu na vyuo vingine vilivyopo Tanganyika. Niwaambie Wazanzibar hao Waarabu wanawadanganya mvunje muungano ili wawasaidie huo ni uongo mtupu! Kwa nini wasiwapatie misaada kwa sasa kama kweli wanawapenda? Pia nawashauri Wazanzibar hasa wenye rangi nyeusi wajihadhari na waarabu watawaletea usultani Zanzibar na atayeteseKa zaidi ni Mwafrika mweusi. Kumbukeni hiostoria ni mwalimu mkubwa.
Amedai endapo Muuungano utavunjika watakaothirika ni Wazanzibar kwa sababu wamejenga *na wamefanya biashara sana Tanganyika.
HILI UMEPOTEA.
Watanganyika wengi wamewekeza ktk mahoteli makubwa zanzibar. ukianza NUNGWI Hadi Uroa utakuta mahoeli ya kitalii ya watanganyika.
Pia watanganyika wengi wamewekeza Zanzibar. wengi wamejenga majumba ya kifahari huko mbweni. Mazizini, Mombasa , Machui na sehemu nyengine.
lkn pia wamewekeza katika makanisa ambayo kwa sasa yamekuwa yakiongezeka kwa kasi licha ya kukosa wanaobudu.
Kwa mtazamo wa haraka, watakaothirika zaidi ni WATANGANYIKA*
 
Hao madaktari wote wakristo eeeh?
Halafu nyerere aliwakataza kwenda shule?
Juzi kwenye biashara zangu nimekutana na mkaka very smart, muislamu hajui kusoma wala kuandika, hata mkataba ikabidi amuombe kaka yake amsomee na kutafria.....(sasa huyu kaka sijui ni mwanasheria????!!!!!) ila kaka mtu ni msomi mzuri tu, hilo nalo utasema ni nyerere? Dada zake ni wasomi wazuri tu hilo nalo utasema nyerere kawabagua?

Mnapoleta thread tumieni akili badala ya upofu wa kidini.....
Tunao waisalu kibao tumesoma nao toka sekondari hadi vyuo, tena na degree mbili mbili.... Msimsingizie nyerere, kusoma ni juhudi
za mtu.....
mzee hata ubaguzi uanfanyika tanganyijka. nyerere kasomesha wakiristo sasa hivi ndugu zetu wanakufa kwa mgomo wa madaktari waisllam wangaliwezeshwa haya yasingetokea maana wanauchunghu na nchi yao

mkishadanganywa na mashekhe ubwabwa bin wachu,ia tumbo mnayabeba bila kutumia akili, ukimchunguza shekhe husika wanapeleka watoto wao shule nzuri na wanawasisitiza elimu, nyie wanakuja kuwadanganya kwa kutumia chuki zenu za kipuuzi.....

Anyway huu muungano hauvunjikitu? Tumewachoka wapemba na waunguja, hawana walijualo zaidi ya kulalamika....... Kwanza mna asili ya uchoyo... Hata chuo kuna room mate mpemba alikuwa mchoyo wa material balaa, anakamua mpaka alfajiri akiingia kwenye mtihani yeye anayekesha, na sie tunaolala saa nne, maksi tunamzidi....
 
Ushauri kwa Yahya. Kama unataka hiki kipindi kiendelee kuheshimiwa, naomba uwaambie hao wanaopanga watangazaji wamtoe fasta huyo Baruani Muhuza. Yani leo studio ya Dar ilijaa vilaza (mh samahani nisije nikapewa Ban), ilijaa watu wasio na upeo kwa mtizamo wangu.
Baruani mpeni vipindi vile vya coverage ya mikutano ya CCM. critical issues hawezi ku discuss. NI USHAURI TU MKUU.

William Malecela, kama baba yako amekuona leo kwenye TV atakuwa ameaibika mno. Nadhani bora urudi kuwa baharia au uamue tu kuwa kama kibajaj. Afadhali huku jukwaani haupo siku hizi. labda nikuulize tu.
Kipindi kile unatafuta kuchaguliwa kwenda EALA ulilalamika sana kuhusu rushwa, vipi ulienda TAKUKURU kupeleka malalamiko au ndo uliishia kwenye blog yako? Kama hukulalamika, huo ndo unaitwa udhaifu. KUSHINDWA KUCHUKUA HATUA STAHIKI WAKATI MUAFAKA NA BILA KUSHINIKIZWA. nadhani hii ndo ilikuwa pointi ya Mh. Mnyika.

Kuna maneno ambayo si matusi ila ni magumu kumwambia mtu mpaka inapobidi. DHAIFU, MPUMBAVU. MZEMBE, MPUUZI.
Sasa kama mtu ana uthubutu wa kusema tatizo liko wapi?

Mkuu Kibamba yale maandamano ya nchi nzima kuhusu katiba yaliishia wapi?

Katika wote aliyenifurahisha leo ni Mh. Zitto. Ananifanya nianze kuipenda M4C maana nilikuwa naishabikia tu.
Mkuu ametoa point tupu tena kwa utulivu mkubwa.

Zitto you are great Kamanda. Ndo maana magamba yanakumezea mate sana.
 
Back
Top Bottom