Star tv kesho...

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
wanajamii,
Nimepata dondoo kuwa kesho star katika kipindi chao cha TUONGEE ASUBUHI wana mada iliyo moto, na wiki iliyopita walisema watairusha mapeeeema ili kutoa fursa kwa watazamaji na wafuatiliaji.
Nijuzeni ni mada gani hiyo na wachangiaji (waalikwa studio) ni akina nani?
 
Back
Top Bottom