Star tv ni kati ya chanel ambazo zinajitahidi sana katika suala zima la kuwafungua macho watanzania. Hi ni kwa kujitahidi kurusha vipindi ambavyo kwa kweli ni mwanga kwa jamii mfano kipindi cha tuongee asubuhi show, bunge, midahalo mbalili mbali, na vinginevyo vingi ambavyo vinaigusa jamii direct. Ila kero yao kuu ni kuwa na mafundi mitambo waliolala yani unakuta star tv haishiki au inashika kwa kugomagoma kwa muda hata wa wiki bila kurekebishwa sasa sijui wanakua hawana taarifa au ni uzembe, tatizo lingine ni la kurudiarudia vipindi yaana unakuta kipindi cha mpira mech ya 2010 inarudiwa hata mara tatu mfululizo hi ni kwa faida gani? ndugu zangu wenye mawasiliano ya karibu nao naombeni kwa faida ya watz wengine muwashtue maana imezid siju ni iringa tu au tz nzima.