Star times, ting na DSTV zinachakachulika

KAMA DECODER YAKO NI DVBT2 UNAPATA BILA TABU. Lkn wale wenye Dvb T1 hakuna tena. Hii inatokana na Ting kuhama kutoka mfumo wa dvb t1 na kwenda ktk dvb t2 HD. Chnl zote hz ni package ya Ting na sii za startimes.
Yangu ni DVBT2 kwahiyo mzee nasubiri maelekezo...
 
technically irdeto 2 haijakuwa hacked. kinachofanyika kama nilivyosema ni card sharing au control word sharing. hii sharing inaweza kuwa kupitia internet kama ifanyavyo hawk ( server za hawk zilikuwa down kuna kupindi sijui sasa) na gprs adapter (hizi unaweka lain ya simu na unakula premium package) hizo dongle ulizosema sio stable sana kuna kipindi ziligoma kabisaa.

Mkuu nakuPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom